• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RC MTAKA AMSHUKURU RAIS MHE, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, KWA KUWEKA RUZUKU KWENYE PEMBEJEO ZA KILIMO HASA MBOLEA.

Tarehe Iliyowekwa: December 21st, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Antony Mtaka, leo Desemba 21, 2023, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwawezesha wakulima mkoani humo, kuzalisha mazao kwa wingi baada ya kuweka ruzuku katika pembejeo za kilimo hususani Mbolea.

Mhe. Mtaka  amesema hayo, wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari wa kuelezea utekelezaji wa  miradi mbalimbali ambayo imefanyika mkoani humo, kuwa, uwekaji wa ruzuku katika Mbolea umepunguza gharama kwa wakulima na kupelekea kuongezeka kwa uzalishaji wa mazao hasa. ya Biashara.

Aidha, Mhe. Mtaka, amewataka watumishi wa Umma mkoani humo, kuwa waadilifu ikiwa ni pamoja na kuiweka  Tanzania mbele katika kutimiza majukumu ya Serikali pamoja na watanzania kwa Ujumla.

Kwa Upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete,  Ndg. William M. Makufwe, akitoa taarifa za utekelezaji wa  miradi katika Halmashauri hiyo, amesema kuwa kwa kipindi cha miaka miwili Serikalini imeweza kuboresha hospitali ya Wilaya na kuifanya kuwa bora zaidi  kwa kujenga majengo ya Dharula, Upasuaji na kuwekewa vifaa vya kisasa vyenye ubora.

Aidha, Ndg. Makufwe, amesema kuwa, kwa Upande wa Elimu, Serikali imeboresha kwa kuongeza miundombinu mbalimbali katika Shule za Sekondari na Msingi wilayani Makete, ikiwa ni pamoja na kujenga Shule za Sekondari katika kila kata, kasoro kata mbili ambazo zipo katika mpango ili kuhakikisha kuwa watoto wanasoma katika mazingira bora.

Sambamba na hayo, Ndg. Makufwe, ameishukuru Serikali kwa kuwawezesha wakulima wa Halmashauri hiyo, kupitia Kilimo cha Ngano kwa kuwapa mbegu bora, zaidi ya tani 1000.

Ikumbukwe kuwa, Kwa mwaka wa Fedha, wa 2022/2023, Halmashauri ya Wilaya ya Makete, imepewa shilingi Bilioni 10,828, 091,870.88 , ikiwa ni Fedha za utekelezaji wa  miradi mbalimbali Wilayani Makete.

Hata hivyo, akifingua mkutano huo wa Waandishi wa habari, Mkurugenzi Mtendaji wa Habari Maelezo, na  Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Mobhare Matinyi, amesema kuwa lengo la kuandaa mkutano huo ni kuuhabarisha Umma kuhusu miradi inayotekelezwa na serikali.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.