• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SAMPULI 1,519 ZA UDONGO ZIMECHUKULIWA KWA AJILI YA VIPIMO VYA AFYA YA UDONGO MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: April 7th, 2023

Sampuli 1,519 za udongo zimechukuliwa katika mashamba mbalimbali ya Wakulima Wilaya ya Makete kwa lengo la kupimwa Afya ya Udongo ili kuweza kujua mahitaji ya pembejeo na wakulima waweze kuzalisha kwa tija zao la Ngano

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete William Makufwe akizungumza katika zoezi la kuwaaga Wamafunzi wa mafunzo ya Vitendo kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo SUA Morogoro waliokuwepo Makete kwa muda wa mwezi mmoja amesema Sampuli 1,519 za udogo zimechukuliwa kwa ajili ya Vipimo vya maabara na wakulima 20200 wamefikiwa na wataalamu hao katika Kata 23 zilizopo Wilayani hapa.

Makufwe amesema Halmashauri ya Wilaya ya Makete imeweka mkakati wa kupima Afya ya udongo kwa kushirikiana na watalaamu kutoka SUA na siku za hivi karibu wataleta wataalamu wa Ardhi kwa lengo la kuwasaidia wakulima waweze kupimiwa udogo bure na kupewa hati miliki za Ardhi wanayomiliki.

Mgeni rasmi katika zoezi hilo Daniel Muhanza ambaye ni Katibu wa CCM Wilaya kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya Ndg. Clement Ngajilo, akiwatunuku vyeti wanafunzi hao amesema uongozi wa Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na Mkoa wa Njombe wamefanya kazi kubwa kuhakikisha wakulima wa Makete wanasaidiwa kulima kwa tija hususani kwenye Kilimo cha Ngano.

Kwa niaba ya wanafunzi hao kutoka Chuo cha SUA Anthony Kanyanza Salim na Husna Abasi Sakas wameeleza kufurahishwa na ushirikiano mkubwa waliopata kutoka kwa Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Watendaji wa Kata, Maafisa Kilimo na wananchi wakati wote wa zoezi la uchukuaji udongo katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Makete na kuahidi kuwa mabalozi wa Kilimo katika maeneo wanakoenda.

Kwa niaba ya Watendaji wa Kata zote za Wilaya Ndg. Robert Nnko Afisa Mtendaji Mamlaka ya Mji mdogo Iwawa amewapongeza wataalamu hao kwa kufanya zoezi hilo katika maeneo yote bila kusikia changamoto yoyote kutoka kwa Wakulima na kuahidi ushirikiano mzuri waliopata kutoka kwa Viongozi wa Vijiji na Kata utaendelea kutolewa kwa mtaalamu yeyote anayefika Makete kufanya kazi wakati wote.

Wilaya ya Makete ina eneo la Hekta 419,500 (sawa na Kilometa za mraba 5,800) linalofaa kwa kilimo ambalo ni sawa na 72.3% ya eneo lote la Wilaya. Kati ya Hekta hizo zinazolimwa ni hekta 75,651.30 ambazo ni sawa na 18 ya eneo linalofaa kwa Kilimo.

Hivyo Halmashauri inaziada ya 82% (Hekta 343,849) ya eneo ambalo halitumiki kwa Kilimo. Zao la Ngano Wilaya ya Makete linazalishwa katika Kata 20 kati ya Kata 23. Kata ambazo hazizalishi zao la Ngano ni Kitulo, Kigulu na Mfumbi.

Halmashauri ya Wilaya ya Makete imekusudia kuboresha na kuinua kilimo cha Ngano ili kuchangia kupunguza upungufu wa zao hili nchini.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.