• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI WILAYANI MAKETE YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA MAKANISA YOTE ILI KUIJENGA MAKETE KIUCHUMI PAMOJA NA TAIFA ZIMA KWA UJUMLA

Tarehe Iliyowekwa: January 21st, 2024

Serikali wilayani Makete mkoani Njombe imesema itaendelea kushirikiana na dini zote katika kufanikisha utendaji kazi wao na shughuli zote za maendeleo kwa manufaa ya wilaya hiyo, na Taifa zima kwa Ujumla.

Hayo yamesemwa leo Januari 21, 2024 na Mkuu wa wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda, wakati akitoa salamu za serikali kwenye ibaada ya shukrani ya Askofu wa Jimbo Katoliki Njombe Mhashamu Eusebius Kyando iliyofanyika katika Kanisa Katoliki parokia ya Makete

“Sisi kama serikali tutaendelea kushirikiana na kanisa katoliki katika wilaya hii na hata sehemu nyingine, kazi kubwa imefanyika baba askofu mnayo miradi mingi mnaifanya katika maeneo yetu lakini sio hivyo tu, mnawakomboa watu kutoka sehemu walipo na kuwaleta nyumbani kwa bwana sio kitu cha kawaida ni kitu kikubwa sana, magfanikio yanaanza rohoni ndipo yanakwenda sehemu nyingine

Aidha, Mhe. Sweda, amewataka wazazi na walezi ambao watoto wao mpaka sasa hawajaripoti shule, wahakikishe watoto hao wanaripoti kwani mpaka sasa asilimia 40 ya watoto hawajaenda shule tangu zifunguliwe Januari 8, 2024

Kwa upande wake Mhandisi Anthony Sanga ambaye ni Katibu mkuu wizara ya Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi, amesema kuwa anatambua kazi ngumu aliyopewa Baba Askofu huyo, lakini watamuombea ili kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu ambaye amemtuma aweze kuifanya kazi ya uaskofu ipasavyo.

Naye Baba Askofu wa jimbo katoliki la Njombe Mhashamu Eusebius Kyando ameelezea umuhimu wa Viongozi kuwa na hofu ya MUNGU hivyo kuitaka jamii kuwalea watoto wao katika maadili mema ili baadaye waje kupatikana viongozi wanaomjua MUNGU miongoni mwao, ikiwa ni pamoja na kumeombea ili atimize wito ualioitwa na Mungu.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.