• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI YATAMBULISHA MRADI WA UJENZI WA OFISI ZA UTAWALA KUPITIA TASAF SHULE YA MSINGI TANDALA ILIYOPO KATA YA TANDALA, WILAYANI MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: March 25th, 2024

Serikali kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini nchini,  TASAF, umetambulisha mradi wa Ujenzi wa  Jengo la Utawala katika Shule ya Msingi Tandala, Iliyopo  wilayani Makete,  Mkoani Njombe, ambao utaenda kugharimu  kiasi cha shilingi milioni mia moja  na moja za kitanzania.

Akizungumza wakati wa Utambulishaji wa mradi huo, Afisa ufuatiliaji wa TASAF Wilaya za Makete,Wanging'ombe na Njombe Vijijini, Ndg. Heri Mpunza, amesema kuwa,  Machi 25, 2022, wananchi wa kijiji cha Tandala, waliibua mradi huo wa Ujenzi wa Jengo hilo la Utawala.

"tayari fedha hizo zimeshafika, na  TASAF inataka miradi yake ikamilike ndani ya miezi mitatu na ikitokea zaidi ya hapo fedha hizo zinalazimika kurudishwa makao makuu hivyo nawaomba  wananchi mshiriki  kikamilifu katika kufanikisha mradi huu" Alisema Ndg. Mpunza.

Aidha, Ndg. Mpunza amesema kuwa, fedha hizo zimegawanyika katika makundi mawili ambayo ni  ujenzi wa jengo lenyewe utakaogharimu shilingi milioni 92.4 pamoja na fedha za usimamizi na ufuatiliaji kuanzia ngazi ya kijiji  mpaka  mkoa, ambapo mpaka sasa Halmashauri imeanza hatua za awali ili kuendana na kasi ya kukamilisha mradi huo.

Kwa Upande wake, msimamizi wa miradi ya TASAF, wilaya ya Makete, Mhandisi Erick Brown, amesema kuwa, wananchi watahusika katika kuchangia nguvu kazi, ikiwa ni pamoja na kusafisha eneo la  jengo hilo litakapojengwa.Naye, Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Tandala, Ndg.  Simoni Haule ameishukuru serikali kupitia TASAF kwa kuwaletea mradi huo muhimu, kwakuwa wamemekuwa wakitumia jengo chakavu jambo ambalo limekuwa hatarishi kiafya pamoja na mali za shule zilizoko ndani ya Ofisi hizo.

Kufuatia uwepo wa mradi huo,  Mtendaji wa kata ya Tandala Ndg. Maximilian Msigwa,  amewataka wananchi kujiandaa kuupokea mradi huo kwakuwa tayari kushiriki shughuli mbalimbali zinazowataka kufanya ili uweze kukamilike kwa wakati.

Ikumbukwe kuwa serikali nchini kupitia Mpango wa Kunusuru kaya Masikini (TASAF), imekuwa ikipokea fedha hizo kwa masharti nafuu kutoka nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi duniani yaani Opec huku zikitaka wananchi wahusike katika kusimamia miradi hiyo.












Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.