• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO, LASIFIWA KWA UZALISHAJI MZURI WA MITAMBA KWAAJI YA MAZIWA HAPA NCHINI

Tarehe Iliyowekwa: July 4th, 2025

Naibu katibu mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bw. Edwin Mahede, leo Julai 4 2025, ametembelea shamba la Mifugo la Kitulo lililopo Wilayani Makete Mkoani Njombe ili kutekeleza azma ya Serikali ya utoaji wa chanjo kwa N’gombe na kuku pamoja na kufanya utambuzi wa mifugo kwa vitendo.

Akizungumza na wataalam wa Mifugo na wafugaji Ndg. Edwin Mahede amesema shamba la kitulo limekuwa ni la mfano Nchini kwani linazalisha Mitamba na Maziwa kwa ajili ya kulisha kwenye viwanda na matumizi ya wananchi wa Matamba,Mkenja na Ndani ya wilaya ya Makete kwa ujumla.

Katika hatua nyingine Ndg. Mahede amesema Shamba la kitulo ni miongoni mwa mwa maeneo yaliyotambuliwa kwa ajili ya kuletewa mpango maalumu wa Chanjo ya Homa ya Mapafu, ikiwa ni pamoja na kufanya utambuzi wa Mifugo kwa kuwawekea alama Maalumu na kuziingiza kwenye mfumo maalumu unaotambua mifugo yote nchini.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Mathias Mbafu, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kuwaletea zoezi hilo la uchanjaji na utambuzi wa mifugo ndani ya Halmashauri hiyo.

Wakizungumza kwa niaba ya Wafugaji Ndg. Imani Tweve na Ndg. Erick Jonathan Tenelo wameishukuru serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kuwaletea programu hiyo na kuomba iwe endelevu kwao kwa kupatiwa elimu ya mara kwa mara ili waweze kutekeleza ufugaji wenye tija.

Ikumbukwe kuwa zoezi hili la uchanjaji na utambuzi wa Mifugo linaendelea katika maeneo tofauti nchi nzima na kufikia Oktoba 27 mwaka huu litakuwa limemalizika na linaenda sambamba na ugawaji wa Hereni za kuvalisha Ng’ombe masikioni,Mashine za kutobolea masikio,Komputa za kuingizia taarifa na vifaa vingine vya kufanyia kazi.













ReplyForward


Add reaction










Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO, LASIFIWA KWA UZALISHAJI MZURI WA MITAMBA KWAAJI YA MAZIWA HAPA NCHINI

    July 04, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 401,402,000.00 KWA VIKUNDI 25.

    July 04, 2025
  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.