• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SHIRIKISHENI WANANCHI KATIKA KILA MIRADI INAYOFANYWA NA SERIKALI KWENYE MAENEO YAO- DC SWEDA

Tarehe Iliyowekwa: December 6th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma Sweda, amewataka viongozi wa serikali wilayani humo, kushirikisha wananchi katika ukamilishaji wa Miradi inayofanyika kwenye maeneo yao, Ili waweze kutambua thamani pamoja na uwajibikaji.

Mhe. Sweda, amesema hayo leo Desemba, 6, 2023, wakati akikagua miradi mbalimbali katika kata ya Ipelele, ukiwemo mradi wa Ujenzi wa Daraja katika Kijiji cha Makwaranga, Shule ya Msingi Misiwa, Shule ya Msingi Mafiga, ukarabati wa mradi wa Maji wa unaofanyika katika vijiji vya Ipelele, Misiwa, Mbnga na Makeve, ambao unagharimu Bilioni 1, 266,987,219.5 ....pamoja na Shule ya Msingi Ipelele.

"Hakikisheni wananchi wanashirikishwa katika kila kinachofanyika na serikali  kwenye maeneo yao, ili waweze kutambua thamani ya Miradi yao, pamoja na kuleta uwajibikaji kuanzia ngazi ya chini " Alisema Mhe. Sweda.

Aidha, Mhe. Sweda, amewataka wananchi kuzingatia mlo kamili, wenye virutubisho vya Lishe ili kupambana na Utapiamlo unaopelekea Udumavu, pamoja Ukatili kwa watoto wadogo sambamba na mimba za utotoni.

Kwa Upande, Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi Jeshi la Polisi , Wilaya ya Makete, SSP Assel Mwampamba, amesema kuwa Kuna haja ya kujenga kituo Cha Polisi katika kata ya Ipelele, ili kuimarisha ulinzi kutokana na muingiliano mkubwa wa watu katika eneo hilo ambalo linakua kibiashara.

Hata hivyo, Kaimu Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, amesema kuwa, Halmashauri ipo kwenye mpango wa kuhakikisha wanakamilisha maboma yote, ikiwa ni pamoja na kuwafanya watumishi kutohama Wilayani humo.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.