• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TAASISI ZA SERIKALI ZILIZOPO WILAYANI MAKETE ZATAKIWA KUTATUA KERO ZA WANANCHI KWA WAKATI

Tarehe Iliyowekwa: July 11th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda. amewata wakala wa barabara Mijini na vijijini TARURA, kuwasimamia ipasavyo wakandarasi ili miradi ikamilike kwa wakati, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa wanarudia barabara zote ambazo wametengeneza chini ya kiwango.

Mhe. Sweda, amesema hayo leo Julai 11, 2024 akiwa kwenye ziara ya kusikiliza kero za wananchi katika kijiji Cha Ihanga, kilichopo Kata ya Ukwama, Wilaya ya Makete.

Aidha, Mhe. Sweda amewataka Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini, RUWASA kusimamisha tozo za maji mpaka pale ambapo watakaa na wananchi kwaajili ya kujadili namna ya kulipa ankara za maji na kutoa Elimu ya kutosha.

Nae, Kaimu Maneja wa Shirika la Umeme nchini, TANESCO, Wilaya ya Makete, Bi.Rhoda Samson Sanga, amewataka wananchi wa kijiji cha Ihanga kuwa na subira kwakuwa Serikali italeta umeme jazili katika kijiji icho.

Nao baadhi ya wananchi wa kijiji cha Ihanga akiwemo, Ndg. Damas Sanga pamoja na Elenesi Sanga wamemwomba mkuu wa Wilaya Makete kuwatafutia soko la kuuza mazao, pamoja na kuwahimiza wataalamu wa kilimo kuwasaidia katika kupamambana na Wadudu wanao shambulia, pamoja na kuwaongezea Walimu.

Hata hivyo, wakazi wa kijiji Cha Ukwama,wamemwomba Mkuu wa Wilaya ya Makete , kuwasaidia wazee waishio katika kijiji hicho kupata huduma ya matibabu bure.


Ikumbukwe kuwa, Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda, leo Julai 11, 2024 amefanya ziara katika Kata ya Ukwama, ikiwa ni mwendelezo wa Ziara ya Utatuzi wa kero za wananchi katika Vijiji vya Ukwama na Khanga,

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.