• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TIMU YA KITAIFA KUFUTILIA MIGOGORO YA ARDHI YAFIKA MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: September 29th, 2022

Timu ya Kitaifa ya utekelezaji wa maagizo ya Baraza la mawaziri kuhusu Migogoro ya ardhi katika maeneo ya hifadhi, mashamba na ranchi imefika Wilayani Makete kuanza kufanyia kazi migogoro iliyopo baina ya wananchi na Hifadhi.

Wakizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda wataalamu wanaounda timu hiyo ya Kitaifa wakiambatana watalaamu wa Ardhi Wilaya ya Makete, Afisa maendeleo ya Jamii wamesema timu itafanya kazi ya kusikiliza viongozi wa Halmashauri za vijiji vyenye migogoro na kufika katika maeneo husika.

Kiongozi wa Timu hiyo ya Kitaifa Michael Gwandu amesema vijiji 9 vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa ya Kitulo na mpanga Kipengere vitafikiwa na watalaamu hao ili kuona na kusikiliza migogoro iliyopo katika maeneo husika.

“Tunakwenda katika vijiji 9 ambavyo kuna mgogoro tukiambatana na watalaamu ngazi ya Wilaya ya Makete pamoja na Halmashauri ya kila Kijiji na kufika uwandani kufanya tathmini ya hali halisi”.

Mwenyekiti wa ulinzi na Usalama Wilaya ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amewashukuru wataalamu hao kufika Makete ili kusikilizia migogoro ya mipaka kati ya Hifadhi ya Taifa Kitulo, Mpanga kipengere na wananchi baadhi ya ya vijiji vinavyopakana na maeneo hayo.

“Niishukuru Serikali kwa kuleta timu hii hapa Makete ambayo ninaimani inafanya kazi nzuri na kubwa sana baada ya kufanya ushirikishwaji kwa viongozi wa Halmashauri za vijiji ili kupunguza migogoro iliyopo kati ya wananchi na Serikali yetu Sikivu ya Mama Samia Suluhu Hassan”.

Katika Mikutano ya kuwasikiliza wananchi iliyofanywa na Mkuu wa Wilaya kila Kijiji miezi kadhaa iliyopita amekuwa akipokea changamoto kubwa ya migogoro ikiwemo wananchi kukosa maeneo ya kufanya shughuli za uzalishaji na ufugaji kwa kuwa yameshachukuliwa na Hifadhi au Mpanga kipengere.

Pia katika ziara za Mbunge Jimbo la Makete Mhe. Festo Sanga kwa wananchi amekuwa akipokea changamoto hiyo jambo lililomfanya azungumzie mara kwa mara Bungeni kuhusu mateso wanayoyapata wananchi ambapo pia mwezi mmoja uliopita Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana mbele ya Rais Samia Suluhu Hassani akiwa Wilayani Makete aliagiza kufika kwa timu hiyo ya Kitaifa Wilayani Makete kuanza kushughulikia migogoro hiyo ya ardhi.

Baada ya Timu hiyo ya Kitaifa kumaliza kazi ya ufuatiliaji wa migogoro hiyo katika maeneo ya Hifadhi, mashamba na Ranchi Timu ya Mawaziri 8 itafika Makete kufuatilia utekeleaji wa maagizo ya Baraza la Mawaziri.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.