• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TUJITOKEZE KUHESABIWA AGOSTI 23, 2022

Tarehe Iliyowekwa: June 22nd, 2022

Kamanda wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Makete ndg. Chilomwa Bitulo amewasihi wananchi kujitokeza kuhesabiwa tarehe 23 Agosti 2022 wakati wa zoezi la Sensa ya watu na makazi.

Bitulo amesema zoezi hilo litahusisha wananchi wote bila kujali kama mtu ana ulemavu wa viungo au changamoto ya kiakili, mtoto, mgonjwa au mzee ni lazima ahesabiwe.

Pia amewasihi wananchi Wilayani Makete kuendelea kupeana hamasa na elimu juu ya umuhimu wa zoezi hilo litakalofanyika nchi nzima bila kuacha mtu yeyote.

“Kila mwananchi anatakiwa ashiriki kwenye zoezi la Sensa ya watu na makazi, Serikali itaweza kupanga vizuri mipango yake na kuweza kutoa huduma mbalimbali kwa watu wake zikiwemo za afya, kilimo, elimu, miundombinu ya barabara n.k”.

Bitulo ameongeza kuwa iwapo mtu yeyote atamficha mtu au taarifa za mtu wakati wa zoezi hilo atakuwa hajamtendea haki mtanzania huyo na kumnyima haki zake za msingi katika nchi yake.

“Haitapendeza kama kuna mtu itatokea anaficha taarifa zozote za mtu ambaye atakuwa amelala kwenye nyumba hiyo usiku wa kuamkia siku ya Sensa ya tarehe 23 Agosti 2022, niombe wananchi wote tushiriki katika zoezi hili muhimu kwa nchi yetu”.

Sambamba kushiriki zoezi la Sensa kamanda wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Makete ndg. Bitulo amewaomba wananchi kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao bila kuwaachia viongozi pekee.

Amesema ili miradi hiyo iwe na tija mwananchi anaweza kushiriki bega kwa bega na kuziba mianya ya rushwa katika hatua mbalimbali za utekelezaji wa miradi na kujenga miradi endelevu yenye manufaa kwa jamii.

“Kila mwananchi anapaswa asimamie miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kutoa taarifa za viashiria vya rushwa kupitia namba 113 ili kuwe na miradi inayokidhi vigezo”.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.