• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

“TUMIENI VIZURI FEDHA ZA MIRADI” MHE. KHAMIS KHAMZA

Tarehe Iliyowekwa: October 18th, 2023

Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis Amewataka watanzania, kuhakikisha kuwa wanatunza miradi ikiwa ni pamoja na kuzitumia vizuri fedha za miradi hiyo ambayo zimekuwa zikipelekwa kwenye maeneo yao.

Mhe. Khamis Khamza Khamis amesema hayo October 18/2023, akiwa ziarani Wilayani Makete, katika kijiji cha Ugabwa, wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya Kuhifadhi Ardhi katika bonde la Ziwa Nyasa.

“hakikisheni mnatumia vizuri pesa za miradi ya utunzaji mazingira zinazotolewa na serikali ambayo inaongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ili kuwe na matokea chanya katika maisha yenu”

Naye, Afisa Mifugo wa Wilaya ya Makete,  Ndg. Aldo Mwapinga, amesema kuwa miradi hiyo imekuwa chachu kubwa sana katika kukuza uchumi wa wanamakete, kutokana kuwepo kwa fursa mbalimbali za kilimo chenye tija, kama vile ufugaji samaki.

“kumekuwa na matokeo kupitia mradi huu wa uhifadhi mazingira wa Bonde la Ziwa Nyasa, baada ya wananchi kuanza kufaidika na miradi hiyo kama vile ufugaji wa Samaki na Kilimo cha Ngano”

Naye mwenyekiti wa kikundi cha Tutunze Mazingira Ugabwa, Bi. Osilia Sanga, amesema kuwa, miradi wa ufugaji Samaki pamoja na Kilimo cha Ngano imekuwa na tija katika maisha yao, hivyo wameshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mstari wa mbele kuwakwamua kiuchumi.

Ikumbukwe  kuwa, Mradi wa usimamizi endelevu wa matumizi ya ardhi ya Bonde la ziwa Nyasa umelenga Kukabiliana na uharibifu wa mazingira katika bonde la Ziwa Nyasa ambao umetokana na shughuli za kibinadamu zisizo endelevu, Shughuli hizo ni pamoja na; kulima kandokando ya kingo za mito na vyanzo vya maji, kulima katika miteremko ya milima, kujihusisha na Uvuvi haramu unaohusisha matumizi ya zana zisizoruhusiwa kisheria, kuchoma moto ovyo, kukata miti ovyo kwa ajili ya mkaa na kuni pamoja na kuchimba madini kwa njia isiyo endelevu.

Sambamba na hilo, mradi huu pia, umelenga Kuboresha maisha ya jamii inayozunguka bonde hilo kwa kufanya shughuli mbadala zinazozingatia uhifadhi wa ardhi na mazingira na kuboresha kipato, na hivyo kupunguza utegemezi mkubwa wa maliasili zilizopo katika bonde hilo.

Imeandaliwa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.