• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TUTUNZE MAZINGIRA YATUTUNZE-DC MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: October 10th, 2022

Wananchi wilayani Makete Mkoani Njombe wametakiwa kushirikiana katika kuyatunza mazingira ikiwa ni pamoja na kuacha tabia ya kuchoma moto misitu kutokana na shughuli mbalimbali  za kibinadamu

Hayo yamesemwa na mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe.Juma Samweli Sweda kwenye uzinduzi wa mpeni ya moto iliyofanyika leo 10 Octoba, 2022 Kata ya Lupalilo kijiji cha Mago, kampeni iliyoandaliwa na shirika la panda miti kibiashara kwa kushrikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Mhe. Sweda Amesema “uchomaji wa moto mazingira kunawafanya hata wawekezaji kwa upande wa misitu kuogopa kuja kuwekeza hapa wilayani Makete kutokana na uchomaji moto kiholela huku akiongeza kuwa Serikali inakemea vikali vitendo hivyo kwa kuwa vinarudisha nyuma maendeleo ya wananchi na kuwapatia hasara kubwa kutokana na miti yao kuungua moto”

Aidha amesema kuwa kama uchomaji wa moto holela utaendelea Wilayani Makete kutakuwa na athari kubwa ikiwa ni pamoja na upungufu wa mvua na hiyo inaweza kupelekea njaa katika jamii na kuwafanya wananchi kukosa kipato kutokana na uharibifu wa mazingira.

Mbunge Jimbo la Makete Mhe. Festo Sanga ameshukuru uwepo wa Shirika la Pandamiti Kibiashara katika Wilaya ya Makete jambo ambalo linawafanya wananchi waweze kupata elimu ya mara kwa mara kuhusu utunzaji wa Mazingira na kutambua umuhimu wa miti katika shughuli zao za kila siku.

"Nawashukuru sana watu wa Pandamiti kwa kuona umuhimu wa kushirikiana na Serikali katika kutoa elimu kwa wananchi hawa ambao kwa kiasi kikubwa uchumi wao upo kwenye miti, ninaamini tutaondokana na adha hii ya kuchoma moto hovyo na kusababisha hasara kubwa kwa Familia, Jamii, wawekezaji na Serikali kukosa mapato"

Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Lupalilo Mhe.Imani Mahenge amesema kumekuwa na changamoto ya uchomaji moto hovyo wa misitu katika Kata hiyo na kuwaomba wananchi kufuata utaratibu wa kuchoma mashamba ikiwa ni pamoja kuchukua barua kwa watendaji na atakae kiuka sharia na utaratibu utaratibu atachukuliwa hatua

Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa kampeni hiyo ya moto wamesema Elimu hiyo iliyotolewa na Mkuu wa wilaya wataifanyia kazi kwani wameipokea kwa mikono miwili na wamewasihi wananchi wengine kushirikiana katika kutokomeza tabia ya uchomaji mashamba pasipo kufuata utaratibu

Kutokana na elimu iliyotolewa katika mkutano huo juu ya utunzaji mazigira kwa wananchi hapa wilayani makete itapelekea kupungua kwa uchomaji moto pasipo kufuata utaratibu

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.