• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

UKATILI NA UDUMAVU HAUKUBALIKI - DED MAKUFWE

Tarehe Iliyowekwa: November 29th, 2023

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Makete, Ndg. Willam M. Makufwe, ameziomba taasisi mbalimbali, wilayani humo, kuhakikisha kuwa zinapambana na ukatili kwa watoto wadogo ili kuwa na kizazi kijacho chenye weledi na uelewa.

Ndg. Makufwe, amesema hayo leo, Novemba 29, 2023, kwenye kikao cha Uzinduzi wa Jukwaa la Wadau wa Ustawi wa Mtoto, kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Bomani, kuwa kila mtu awe mlinzi wa mtoto, kutokana na kukithiri kwa vitendo vya ukatili katika jamii inayowazunguka.

“kila mtu akawe mlinzi wa watoto, kutokana na kukithiri kwa vitendo vya ukatili, pamoja na kuwasaidia wale ambao wanaishi kwenye mazingira magumu kwakuwa wanauhitaji kama watoto wengine” Alisema Makufwe.

Sambambana na hayo, Ndg. William M. Makufwe, amewataka wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, kuhakikisha kuwa wanapambana na ongezeko la Utapiamlo, ambao umekuwa ukipelekea Udumavu kwa watoto wengi wilayani humo.

“Halmashauri inaendelea na kutoa elimu ya matumizi ya Lishe bora kwa watoto wadogo, katika kupambana na ongezeko la Udumavu, hivyo kila familia kwa nafasi yake ihakikishe inatimiza wajibu wake kwa watoto wao” Alisema Makufwe.

Ikumbukwe, kuwa leo Novemba 29.2023, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, imezindua Jukwaa la Wadau wa Ustawi wa Mtoto, wilayani humo, yenye lengo la kumlinda mtoto na changamoto ambazo anakutana nazo katika makuzi yake ya kila siku.

Imeandaliwa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.