• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

UKIKAMATWA NA MIFUKO YA PLASTIKI JELA MIAKA MIWILI

Tarehe Iliyowekwa: September 20th, 2022

Wafanyabiashara na wananchi Wilayani Makete wameaswa kutoatumia mifuko ya plastiki kufuatia katazo lililotolewa na Serikali mwaka 2019 ili kuhakikisha usalama wa watu na mazingira.

Afisa Mazingira na udhibiti wa taka ngumu Wilaya ya Makete Upendo Mgaya amesema kumekuwa na wafanyabiashara na wananchi wanaokiuka sheria kwa kutumia bidhaa hizo ambazo zilipigwa marufuku kwa matumizi ya kila siku.

Mgaya amesema kutokana na athari mbaya zinazosababishwa na matumizi ya mifuko hiyo ambayo inakemikali zenye sumu na kwa kuwa haziyeyuki zinapokuwa katika mwili wa binadamu au mnyama katika mfumo wa chakula.

Vilevile mifuko hiyo husababisha uharibifu wa miundombinu pamoja na uchafuzi wa mazingira kwa ujumla.

“Wakati wowote tutafanya ukaguzi kwenye bishara mbalimbali katika maeneo yote Wilayani Makete hivyo hatua za kisheria zitachukuliwa kwa watakaobainika pamoja na wateja ambao wananunua vitu na kufungasha katika mifuko hiyo”.

Mgaya amewaagiza wafanyabishara na wananchi wenye mifuko hiyo ya plastiki nyumbani au kwenye maeneo ya biashara kuisalimisha katika ofisi za vijiji husika mapema iwezekanavyo kabla yah atua za kisheria kuchukuliwa dhidi yao.

“Kwa  mujibu wa kanuni ya Mazingira yam waka 2019 mtu yeyote atakayekamatwa anatumia mifuko hiyo atatozwa faini isiyopungua elfu thelathini (30,000) na isiyozidi Bilioni moja au kifungu kisichopungua siku sab ana kisichozidi miaka miwili au vyote kwa pamoja”

Pia amewasihi wafanyabiashara na wananchi kutumia mifuko mbadala ya karatasi, vifuko vya vitambaa na vikapu kwa kulinda afya ya jamii, Wanyama, mazingira na miundombinu.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.