• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

UKOSEFU WA SARE SIO KIGEZO CHA KUTOANDIKISHWA SHULE - DED MAKUFWE

Tarehe Iliyowekwa: January 17th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, leo Januari 17, 2024, ameendelea na ziara kwa  kutembelea kata Mbili za Bulongwa na Kipagalo, zilizopo Wilayani Makete, ikiwa ni mwendelezo wa Kukagua Uandikishaji wa wanafunzi Kwa ngazi ya Awali, Msingi na Sekondari, pamoja na kusikiliza changamoto za Kata kupitia Kamati za  Maendeleo za Kata, KAMAKA.

Akiwa katika Kata hizo mbili, Ndg. William M. Makufwe, amewataka wazazi kuwapeleka watoto Shule hata kama bado hawajanunuliwa sare za Shule ,ili waweze kuendana na mitaala.

Aidha, Ndg. Makufwe amewataka wakazi wa Kata hizo mbili za Bulongwa na Kipagalo, kushiriki katika Maendeleo kupitia miradi inayoletwa na serikali kwenye maeneo yao, kwakuwa ni uwezekazaji mkubwa ambao umekuwa ukifanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ikiwa ni pamoja na kuwakumbusha kusimamia mapato kuanziaa ngazi ya Kijiji.

Sambamba na hayo, Ndg. Makufwe, amewataka wakazi wa Makete, kuhakikisha kuwa wanapambana na Udumavu kwa kuwapa watoto wao Lishe Bora, ili wasije kuwa mzigo kwa Taifa  na familia zao hapo baadae.

Kwa upande wake, Afisa Lishe, kutoka  Hospitali ya Wilaya ya Makete, Bi. Agnes Columbani, amewataka wakazi wa Kata hizo, kuendelea kupambana na Udumavu kwa kupanda Mboga Mboga pamoja na kufuga wanyama ambao sio gharama kuwahudumia mama vile kuku, Sungura ili waweze kutumika kama kitoweo kwa watoto wao.

Naye, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mahulu, Ndg. Remijo Tweve, amemshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, Kwa  kuamua kusikiliza kero za wananchi kuanzia ngazi ya Kitongoji, kitu ambacho viongozi wengi wa ngazi yake wameshindwa kufanya.

Ikumbukwe kuwa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William Makufwe, leo Januari 17, 2024, ameendelea na ziara Kwa kukutana na Madiwani, Watendaji Kata, Watendaji wa Vijiji, Wenyeviti wa Vijiji, Wenyeviti wa Vitongoji pamoja Uongozi wa CCM kuanzia ngazi ya Vijiji.

Imeandaliwa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.