• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

UZINDUZI WA CHANGOCHAATA MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: March 25th, 2023

Mwenyekiti wa Chama cha Ngoma na chakula  cha asili Tanzania (CHANGOCHAATA) Taifa Eng Johnsoni Kashasha amesema chama hicho kinathamini na kutambua kwa kiasi kikubwa juhudi za Serikali ya Tanzania chini ya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassani katika kuendelea kuthamini na kukuza utamaduni wa Watanzania.

Kashasha ameyasema hayo hii leo wakati wa uzinduzi wa chama hicho Kitaifa hafla uliofanyika katika ukumbi wa Jeni Mangwangwa Makete mjini ambapo amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa mdau namba moja katika kukuza na kuendeleza  utamaduni wa Tanzania ikiwa ni pamoja na kurahisisha upatikanaji wa mikopo kwa wasanii.

Katika hatua nyingine kashasha amesema uwepo wa chama hicho sasa ni ishara kuwa kitakuwa na mchango mkubwa katika kuhakikisha utamaduni wa Tanzania unakuwa na kulindwa huku akiomba viongozi kutoka kwenye mihimili yote ya Nchi wakitambue chama hicho na kutoa ushirikiano ili adhima ya uanzishwaji wa chama hicho ikiwemo kuendeleza na kukuza utamaduni wa Tanzania ifikiwe.

Katibu Tawala Wilaya ya Makete Grace Mgeni kwa niaba ya mgeni rasmi  ambae alitakiwa awe ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.  Balozi Dkt. @pindi.chana amewapongeza uongozi wa CHANGOCHAATA kwa kuanzisha chama hicho kwani Tanzania inasifika kwa kuwa na umoja, utulivu na mshikamono vyote vinatokana na utamaduni walionao watanzania

CHANGOCHAATA kimeanzishwa na kusajiliwa na baraza la Sanaa la Taifa BASATA mwaka 2022 kikiwa na lengo la kukuza na kuendeleza utamaduni wa Tanzania

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.