• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Vijana wajipanga Mapinduzi ya Kilimo Makete

Tarehe Iliyowekwa: August 31st, 2022

Vijana 150 kutoka Kata ya Ikuwo na Kigala wamejipanga kuweka kambi kwa ajili ya kuanza Kilimo cha kisasa ili kuzalisha zao la Ngano kwa wingi zaidi.

Vijana hao wamepata hekari zaidi ya 300 katika Kijiji cha Mlengu Kata ya Kigala ili kufanya shughuli ya uzalishaji wa Ngano na Viazi Mviringo katika kujikwamua kiuchumi .

Wakizungunza na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Makete Ndg. William Makufwe, Afisa Maendeleo ya Jamii Bi. Jacline Mroso, Afisa Kilimo Aniseti Ndunguru, Katibu wa UVCCM Wilaya Ndg. Hassan Kapolo, Watendaji wa Kata zote mbili, Maafisa Kilimo Kata pamoja na Waheshimiwa Madiwani wa Ikuwo na Kigala wamesema wako tayari kuzalisha kwa tija ili kuwainua Vijana kiuchumi.

Kwa niaba ya vijana wengine Ajuaye Ngulo kutoka Kijiji cha Kigala anasema “tunaishukuru Serikali kwa kuliona kundi hili muhimu lenge nguvu kubwa ya uzalishaji kwa Taifa, tuwahakikishie kwamba tupo tayari kuweka kambi hap ana kuanza kazi mara moja”.

Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Makete amesema Halmashauri ipo tayari kuwapa mkopo wa zaidi ya Milioni 100 kabla ya msimu wa Kilimo cha ngano kuanza mwishoni mwa mwaka huu Vijana hao wawe wameshapata fedha hizo.

"Tunatambua kuwa Kilimo ni uti wa mgongo na fedha nyingi zinapatikana kwenye Kilimo tuwapongeze kwa utayari wenu na Serikali ipo tayari kutoa fedha kwa ajili ya kusaidia kundi hili la Vijana ambalo ndio tegemezi kwa Taifa".

KUTAZAMA VIDEO BONYEZA HAPA

Afisa Kilimo Wilaya Aniseti Ndunguru amesema Serikali imeweka ruzuku kwenye Mbolea na itagawa mbegu za ngano bure kwa wakulima, hivyo Vijana hao wanaweza kuwa ni miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hizo.

Afisa Maendeleo Wilaya Bi. Jackline mroso ameagiza Vijana hao kuunda Vikundi haraka iwezekanavyo ili waweze kusajiliwa na kuanza kunufaika na mikopo ya 10%

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.