• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WA VITUO PAMOJA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI MKUBWA

Tarehe Iliyowekwa: January 9th, 2025

Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kituo pamoja na Waendesha vifaa vya Bayometriki wametakiwa kufanya kazi kwa weledi mkubwa ili zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura, liweze kuwa lenye tija, kuelekea Uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu.

Hayo yamebainishwa leo Januari 9,2025 na Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Asina Abdillah Omari, wakati akiongea na Waandikishaji Wasaidizi pamoja na Waendesha vifaa vya Bayometriki kwa kanda mbili za Iwawa na Tandala kwenye mafunzo ya Siku mbili, kuelekea uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura.

“kumbukeni kuwa Mafunzo haya pamoja kazi yenu ipo kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu zake, hivyo hakikisha kuwa huendi kuwa kikwazo wala kuharibu zoezi hili, kwakuwa utakuwa umevunja sheria, hivyo ukimaliza mafunzo haya nenda kafanye kazi kiuweledi na kiufasaha” Alisema Mhe. Jaji Asina A. Omari.

Aidha, Mhe. Jaji Asina, ameongeza kuwa, kila Mwandikishaji na Mwendesha kifaa cha Bayometriki anatakiwa kuielewa vizuri mifumo ya uandikishaji wapiga kura kwenye daftari la kudumu, kutokana na kuboreshwa kwa Vifaa vya Bayometriki, sambamba na kushirikiana vizuri katika kazi, pamoja na kuwa na kauli nzuri kwa watu watakaokuja kuboresha taarifa zao, ama kujiandikisha.

Kwa Upande wake, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Mathias Mbafu, amewaasa waandikishaji hao pamoja na waendesha vifaa vya Bayometriki, kutunza siri za wananchi ambao wameenda kupata hudumua hiyo ya kujiandikisha kwenye vituo hivyo.

Naye Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Makete Bi. Jacklina Mrosso, amewasisitiza usafi wa kazi pamoja na Uzalendo wakati wa uandikishaji wa Wapiga kura kwenye daftari la kudumu la mpiga kura, ikiwa ni pamoja na kufuata taratibu, kanuni na sheria zilizowekwa na Tume.

Hata hivyo, Afisa Uchaguzi Jimbo la Makete, Ndg. Castory Ngonyani, amewasihi waandikishaji hao kufungua vituo mapema kama kmuda ulivyopangwa, pamoja na kuhakikisha kuwa wanajaza fomu kiufasaha ili kutokosea uwekani wa taarifa za watu ambao wataenda kujiandikisha.

Ikumbukwe kuwa, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, INEC, ipo katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, ikiwa ni mchakato wa kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu wa 2025, ambapo kwa Wilaya ya Makete, Uandikishaji huo, utaanza Januari 12 hadi 18,2025, 

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.