• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAANDISHI WA HABARI NJOMBE & RUVUMA WAPIGWA MSASA KUHUSU SENSA 2022

Tarehe Iliyowekwa: September 18th, 2023

Waandishi wa Habari zaidi ya 70 kutoka Mkoa wa Njombe na Ruvuma wameanza mafunzo ya siku 2 yanayohusu matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na makazi 2022.

Mafunzo hayo yanatolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kuanzia tarehe 18-19 Septemba, 2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe yamefunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka ambaye amewasihi Waandishi wa Habari kutoa taarifa sahihi kwa kutumia takwimu ili Jamii iweze kutumia takwimu hizo kiuchumi na kujiletea maendeleo.

Mhe. Mtaka amesema “ili jamii inufaike zaidi na taarifa za Sensa kiuchumi na kijamii waandishi wa habari ni vizuri mkaisaidia kutoa taarifa sahihi kwa kutumia takwimu ili kusaidia jamii na Taifa kwa ujumla iweze kupanga vizuri mipango ya kimaisha na kimaendeleo”

Kamisaa wa Sensa na Spika wa Bunge Msitaafu aliyewahi kuhudumu nafasi ya Uwaziri wa Habari nchini Mhe. Anne Makinda amesema vyombo vya habari vimetoa mchango mkubwa nchini katika zoezi la utoaji elimu ya Sensa 2022 hususani Redio za Kijamii na kupongeza kwa ushirikiano huo walioufanya waandishi wa Habari kwa Serikali yao.

“Tofauti na miaka iliyopita, Sensa ya 2022 Waandishi wa Habari hususani Redio ya Kijamii mmefanya kazi kubwa ya kuhabarisha Jamii na Tasnia hii inamchango mkubwa katika kutoa habari zinazohusu takwimu ili kusaidia jamii kuwa na uelewa mpaka wa kujua takwimu”.

Kwa niaba ya Waandishi wa Habari, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Njombe Damiani Kunambi ameipongeza Serikali kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa kutambua mchango mkubwa unaotolewa na vyombo vya Habari katika upatikanaji wa taarifa zinazohusu Sensa 2022 na kutoa mafunzo yatakayoongeza weledi katika majukumu ya upashanaji habari kati ya Wanahabari na Jamii inayowazunguka.

Serikali kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu ilifanya Sensa ya watu na makazi mwaka 2022 ambayo hufanyika kila baada ya miaka 10 ili kupata taarifa mbalimbali kwa lengo la kujua idadi ya watu, makazi, shughuli za kiuchumi zinazofanywa na wananchi wake ili iweze kupanga mipango mikakati na kuwa na Dira ya Maendeleo


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.