• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WADAU WA MAENDELEO WAISHIO NJE YA WILAYA YA MAKETE WAKABIDHI VIFAA TIBA NA ELIMU VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 140.

Tarehe Iliyowekwa: December 23rd, 2024

Wadau wa Maendeleo Wilayani Makete, waishio Dar es Salaam, leo Desemba 23, 2024, wamekabidhi Vifaa Tiba pamoja na Elimu kwa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, vyenye thamani ya shilingi milioni 140. 

Akizungumza wakati wa Kukabidhi Vifaa hivyo, Mwenyekiti wa Wadau wa Maendeleo waishio jijini Dar es Salaam, Ndg. Dkt. Toba Nguvula, amesema kuwa, huo ni mwanzo tu wa kuijenga Makete mpya, na kwamba watahakikisha wanatatua changamoto ambazo zitakuwa juu ya uwezo wao.

Aidha, Dkt. Nguvila, amewataka watumiaji wa Vifaa hivyo, kuhakikisha kuwa wanavitunza ili viweze kudumu kwa muda mrefu, na kwamba wao watakuwa na kazi kujazilizia pale penye uhitaji kutegemea na maombi ya wanamakete.

"Wilaya ya Makete, imebarikiwa kuwa na watu wenye uwezo pamoja na nafasi kubwa sehemu mbalimbali pamoja na Wafanyabiashara wakubwa ambao tukiwaweka kwa pamoja naamini Makete hii itabadirika" Alisema Dkt. Nguvila.

Naye, Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma S. Sweda, akiongea kwa njia ya Simu kupitia kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, amewashukuru wanamakete hao kwa kuamua kurudi nyumbani ili kuboresha upatikanaji wa huduma za Afya pamoja na Elimu.

Kwa Upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Y. Fungo, akishukuru kwa niaba ya Wananchi wa Wilaya ya Makete, amesema kuwa watahakikisha wanatunza Vifaa hivyo, ili viwe na tija kwa vizazi vyote, sambamba na kuwaomba waendelee kuishika mkono Wilaya Yao kwakuwa Maendeleo ni Mapambano.

Pia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, amesema kuwa, msaada huo uliotolewa na na Wadau hao ni matokeo chanya ya ishirikiano Mzuri uliopo katika ya wanamakete pamoja na Uongozi mzima wa Wilaya ya Makete.

Ikumbukwe kuwa, Wadau wa Maendeleo waishio jijini Dar es Salaam, wametoa msaada wa Vifaa Tiba pamoja na Elimu, ili kuhakikisha Wilaya ya Makete inaboreka katika Utoaji wa huduma muhimu kwa Wananch

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.