• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAFANYABIASHARA WILAYANI MAKETE WATAKIWA KUUZA SUKARI KWA KUFUATA BEI ELEKEZI

Tarehe Iliyowekwa: March 11th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma Samwel Sweda, leo tarehe 11/3/ 2024, amewataka wafanyabiashara wote wilayani humo kuuuza Sukari kwa kufuata bei elekezi ya Serikali, la sivyo sheria kali zitachukuliwa dhidi yao. 

Mhe. Sweda, amesema hayo leo wakati wa mkutano hadhara na wakazi wa Kata ya Bulongwa, ambapo wananchi hao wamelalamikia gharama kubwa ya ununuzi wa Sukari ambayo imekuwa ikiuzwa kati ya Shilingi 5000 hadi elfu 6000 kwa kilo.

" Katika Wilaya ya Makete Bei ya Sukari ni kuanzia shilingi elfu 2700 hadi shilingi elfu 3000, wafanyabiashara wote fuateni hiyo bei, muda sio mrefu mtapata majibu ya mnachokifanya, haiwezekani Sukari inauzwa elfu 5000 hadi elfu 6000, wakati miongozo ya bei elekezi ipo" Alisema Mhe. Sweda.

Aidha, Mhe. Sweda, amewataka wakazi wa Kata ya Bulongwa, kutoendekeza migogoro isiyokuwa na tija ambayo imekuwa ikipelekea sintofahamu ya umiliki wa Ardhi kwenye baadhi ya maeneo ya miradi, na kuchelewesha Maendeleo ndani ya Kata.

Sambamba na hayo, nao baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo, akiwemo Mganga mkuu wa Wilaya ya Makete, Dkt. Ligobert Kalisa, amewataka wananchi Wilayani humo kuwa na Bima ya Afya iliyoboreshwa ili wawe na uhakika wa kutibiwa pale wanapopata changamoto za kiafya.

Kwa Upande wao, baadhi ya wananchi wa Kata hiyo, wameishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuwapa miradi ya maendeleo ya kutosha, sambamba na kupewa Ngano zaidi ya tani 15, kwaajili ya mbegu.

Ikumbukwe kuwa, Kata ya Bulongwa imepewa Miradi yenye thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 2.2, ambazo zimepelekwa kwenye Miradi ya Elimu, Afya, pamoja na Maji.

Imeandaliwa na: 

Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini,

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.