• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAHESHIMIWA MADIWANI WILAYA YA MAKETE WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI KUKUZA UCHUMI WILAYANI HUMO

Tarehe Iliyowekwa: December 16th, 2024

Mstahiki Meya wa Halmashuri ya Jiji la Dodoma, Mhe. Prof. Davis Mwamfupe, amewataka waheshimiwa madiwani wa Halmashauri za Wilaya ya Makete pamoja na Igunga, kushirikiana na wananchi katika shughuli zao za kila siku ili kuweza kukuza uchumi pamoja na maendeleo kwenye halmashauri zao.

Mhe.Prof. Mwamfupe, amesema hayo leo Desemba 16,2024, wakati akiwakaribisha Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri hizo mbili za Makete na Igunga, ambao wametembelea Halmashauri ya Jiji la Dodoma, ili kuweza kujifunza shughuli mbalimbali za uendeshaji wa Halmashauri pamoja na kuanzishwa kwa miradi mikubwa ya kimaendeleo.

“Halmashauri zetu zihakikishe zinabuni vyanzo vingine vya mapato, pamoja na kuboresha ile iliyopo ili Serikali yetu, ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iweze kutekeleza miradi ya Maendeleo kwa wananchi” alisema Mhe. Prof. Mwamfupe.  

Sambamba na hayo, Mhe. Prof. Mwamfupe, amewapongeza madiwani hao kwa kushirikiana vizuri katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambao Chama cha Mapinduzi kimeshinda kwa kishindo.

Kwa Upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma S. Sweda, amesema kuwa, ziara ya kuitembelea Halmashauri ya Jiji la Dodoma, ikawe na tija katika halmashauri yenu, ili mkafanye maamuzi sahihi ya kuhakikisha maendeleo yanakuwa kwa kasi, na wananchi wananufaika na ukuaji wa uchumi.

Ikumbukwe, kuwa waheshimiwa Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Makete, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, wapo katika ziara ya Kujifunza kwenye Halmashauri ya Jiji la Dodoma, ili kuweza kujionea namna bora ya kuendesha miradi ya kimaendeleo katika halmashauri hiyo. 

Pia, katika ziara hiyo, Madiwani hao wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, wameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma S. Sweda, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete,  Wakuu wa Idara pamoja na Vitengo mbalimbali.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.