• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA MSINGI WAMEPEWA MAFUNZO YA UIMARISHAJI WA LISHE BORA KWA WATOTO CHINI YA MIAKA 5

Tarehe Iliyowekwa: February 18th, 2025

Wahudumu wa Afya ngazi ya Msingi 38 kutoka vijiji 19 katika Halmashauri ya Wilaya ya Makete, leo Februari 18,2025, wamepewa mafunzo ya kuboresha mifumo ya Kijamii ili kupambana na ongezeko la Udumavu wilayani humo.

Mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Iwawa, yakiwa na lengo la Kuboresha Unasihi wa masuala ya Lishe kupitia utekelezaji wa Afua mbalimbali za Lishe, ikiwemo Jiko Darasa kwa ajili ya matibabu ya watoto wenye Utapiamlo walio chini ya miaka 5, kupitia vyakula vinayopatikana kwenye maeneo husika.

Aidha, utekelezaji huo umelenga kuvijengea uwezo vikundi mbalimbali vya Malezi Lishe vyenye lengo la kuzuia Utapiamlo kwa watoto wenye umri chini ya miaka 2, pamoja na utekelezaji wa Siku ya Afya na Lishe ikiwemo upimaji wa Hali ya Lishe, Usafi, usalama wa Maji, Mazingira pamoja na Malezi yenye muitikio chanya katika jamii na usalama wa mtoto.

Ikumbukwe kuwa, Mafunzo hayo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Makete, yameratibiwa na Ofisi ya Mganga mkuu wa Mkoa wa Njombe, Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na Wadau ambao ni Catholic Relief Service (CRS), The Centre of Counselling, Nutrition and Health Care, (COUNSENUTH) chini ya Ufadhili wa Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani, (UNICEF).

Hata hivyo, Afisa Lishe wa Mkoa wa Njombe, Bi. Betha Nyigu, amesema kuwa, Mafunzo hayo kwa mkoa wa Njombe, yataendeshwa katika Halmashauri zote 6, za mkoa huo, ambapo awamu hii Mkoa umepanga kuwafikia wahudumu ngazi ya msingi 154, sawa na asilimia 17, ya wahudumu wote ndani ya mkoa huo, katika vijiji ambavyo vimekuwa na changamoto kubwa ya Utapiamlo.

Imeandaliwa na:

Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, 

Halmashauri ya Wilaya ya Makete. 

 

 

 

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.