• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAKAZI WA KATA YA LUPALILO WAPONGEZWA KWA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI

Tarehe Iliyowekwa: March 7th, 2024

Wananchi wa Kata ya Lupalilo iliyopo wilayani Makete Mkoani Njombe, leo Machi 7,2024, wamepongezwa kwa kutunza vyanzo vya maji vilivyopo katika kata hiyo kwa kupanda miti rafiki kwenye vyanzo hivo pamoja na kutofanyafanya shughuli mbalimbali za kibinadamu kama vile kilimo na kukata miti hovyo.

Pongezi hizo zimetolewa na Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya Makete, Bi.Upendo Mgaya, wakati wa upandaji wa miti aina ya Mizambarau kwenye chanzo cha maji cha Ng'usi kilichopo ndani ya kata hiyo, ambapo amesema kuwa, vyanzo hivyo vinafafaida kubwa kwa nchi kwakuwa vinatiririsha maji kwenye bonde na mto Rufiji na Bonde la ziwa Nyasa ambako kunamiradi mikubwa ya serikali .

Naye, Afisa Misitu wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. Naferi Lulesu Sanga, amewataka wananchi wa kata hiyo kuendelea kutunza vyanzo hivyo, kwa kutofanya shughuli zinazoharibu mazingira badala yake, wafuge nyuki kwenye vyanzo hivyo na kwamba ofisi ya misitu watatoa ushirikiano kwenye kikundi cha ufugaji wa nyuki ambacho kitakuwa tayari kwa uwekezaji huo.

Kwa Upande wake, Mtendji wa kata hiyo, Ndg. Sabas Kereth ameipongeza ofisi ya mazingira kwa kwakushirikiana na wananchi wa kata hiyo kwa kupanda miti katika chanzo hicho huku akisema wao kama viongoz na wananchi wataitunza miti hiyo ili iwe na tija katika vizazi vyote.

Nao, baadhi ya wananchi waliojitokeza katika shughuli hiyo ya upandaji wa miti katika chanzo hicho, wamesema kuwa, wapo tayari kuilinda miti na kuwasihi wananchi wenzao kutopeleka mifugo katika eneo hilo kwani imekuwa ikiharibu vyanzo hivyo.

hata hivyo, zaidi ya Miti 900, imepandwa katika chanzo hicho cha Ng'usi ikiwa ni mpango mkakati wa Kutunza mazingira pamoja na vyanzo vya Maji vilivyopo Wilayani Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.