• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAKINGA WOTE RUDINI MUWEKEZE KWENU, MAKETE YA SASA SIO YA ZAMANI- RC MTAKA

Tarehe Iliyowekwa: January 11th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe, Antony Mtaka, amewataka wakazi wa wilaya ya Makete, kuhakikisha kuwa wanalima mazao mbalimbali ya Biashara, hususani ya muda mfupi kama vile Pareto, ili waweze kukwamua kiuchumi. 

Mhe. Mtaka amesema hayo , leo Januari 11, 2024, wakati akiwa Mgeni rasmi, kwenye Mkutano na Wadau wa Zao la Pareto, ambao umefanyika wilayani Makete, wenye lengo la kujadili namna Bora ya kuwekeza na kukuza zao hilo wilayani humo.

"changanyeni mazao mbalimbali kwenye mazao yenu, hususani yale ya Biashara kwakuwa Ardhi ya Makete inaruhusu kufanya hivyo, limeni mazao ya Mboga Mboga sio Kila siku unakula viazi tu" Alisema Mhe. Mtaka.

Aidha, Mhe, Mtaka amewataka wakazi wamakete waliopo Nje ya Wilaya kuwekeza wilayani humo, kwakuwa Kuna fursa mbalimbali za kiuchumi kama vile Ngano, Pareto , Tufaa na viazi.

Sambamba na hayo, Mhe. Mtaka, amewataka wazazi wote wilayani Makete, kuhakikisha kuwa wanawalea watoto katika mazingira mazuri, ikiwa ni pamoja na kuwapa lishe bora ili kupambana na Udumavu.

Kwa Upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma Sweda, amesema kuwa Makete ina fursa mbalimbali za Kilimo, hivyo, PCT hawajafanya kosa kuwashika mkono wakulima wa zao hilo, Wilayani humo ikiwa ni pamoja na kuwekeza kwenye Kilimo hicho chenye tija Kwa wakulima.

Ikumbukwe kuwa, Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Leo Januari 11, 2024, imefanya mkutano na Wadau wa Zao la Pareto, chini ya kampuni ya Pareto nchini, PCT, uliolenga kujadili namna bora ya Uwekezaji na ulumaji wa zao hilo Wilayani Makete.

Hata hivyo, Mhe. Antony Mtaka, akiwa wilayani humo amepokea mbegu bora za Ngano kutoka Wakala wa Mbegu nchini ASA , ikiwa ni mwendelezo wa Uwekezaji wa zao hilo wilayani Makete, ambapo kwa Mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa zaidi ya tani 500 kwa wakulima wa zao hilo

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYANI MAKETE WATAKIWA KUFUATA ASHERIA, KANUNI NA MAADILI YA KAZI

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.