• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAKULIMA JIANDIKISHENI MPATE MBOLEA YA RUZUKU

Tarehe Iliyowekwa: August 24th, 2022

Wakati zoezi la Sensa ya watu na makazi likiendelea katika maeneo yote nchini, wakulima Wilayani Makete wamesisitizwa kufika ofisi za vijiji na Kata kujiandikisha kwenye daftari la wakulima kwa ajili ya kupata mbolea ya ruzuku inayotolewa na Serikali.

Akizungumza na Kitulo FM Mkurugenzi Mtendaji (W) Makete bw. William Makufwe amewasihi wakulima kutumia muda huu wa maandalizi vizuri kuelekea msimu wa kipindi cha mvua kwa ajili ya kilimo cha mazao mbalimbali ya chakula na biashara.

Makufwe amesema zoezi hili limeshaanza kwa zaidi ya wiki mbili sasa, hivyo wananchi watumie fursa hiyo ambayo Serikali inalengo kubwa la kusaidia wakulima nchini kwa kuwapunguzia wakulima ukali wa gharama za ununuzi wa mbolea.

Kwa upande wake Afisa Kilimo kutoa Idara ya Kilimo ndg. Lazaro Kasebwa amesema matarajio ni kuhakikisha ndani ya mwezi huu wa nane zoezi hili litakuwa limekamilika na na wakulima kujisajili kupitia alama za vidole ili Serikali iendelee na utaratibu wa kuanza kutoa ruzuku ya mbolea kwa shilingi elfu sabini tuu (70,000) popote ndani ya nchi.

“Zoezi la uandikishaji kwa wakulima lilianza tarehe 11 kwa ksuambaza vitabu na kufanya ufuatiliaji ambapo imeelezwa hamasa imekuwa ndogo hivyo watendaji wa vijiji wameagizwa kuitisha mikutano na kutoa taarifa kwa wananchi ili wajiandikishe wengi zaidi”.

Kasebwa amesema 94% ya wakazi wa Makete ni wakulima wa mazao mbalimbali ya chakula na biashara ambayo ni viazi, ngano, mahindi, maharage, mbogamboga na matunda mbalimbali ikiwemo nyanya, vitunguu, tufaha n.k

Afisa huyo amesema katika Wilaya ya Makete bi. Tully Mwasanga amechaguliwa kuwa msambazaji wa Mbolea ambaye atahakikisha kila mwananchi aliyejiandikisha ananunua mbolea eneo alilojiandikisha kwa gharama ya shilingi elfu sabini tu.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.