• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAKUU WA IDARA NA VITENGO SHIRIKIANENI NA AFISA LISHE KUTOKOMEZA UDUMAVU -DED MAKUFWE

Tarehe Iliyowekwa: March 25th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, leo Machi, 25, 2024, amewataka Wakuu wa Idara na Vitengo, pamoja na Afisa Lishe Wilaya, kuhakikisha kuwa wanapambana kuondoa Udumavu Wilaya humo.

Ndg. Makufwe, amesema hayo leo wakati wa kikao cha kusikiliza, kupitia na kupokea taarifa za utekelezaji wa mkataba wa Afua za Lishe, wilayani Makete, na kubainisha kuwa Jukumu la kupambana na Udumavu wilayani Makete ni la kiongozi. 

"kila mtu awe na mkakati wa kuhakikisha kuwa, Udumavu unaisha Wilayani Makete, kila mmoja wenu atimize wajibu wake, kwa kushauriana na kuleta hamasa na matokeo chanya kwenye Vijiji vyenye changamoto ya Utapiamlo na Udumavu" Alisema Ndg. Makufwe.

Aidha, Ndg. Makufwe, amesema kuwa, Kila Shule ya Msingi lazima iwe na Bustani ya mboga na Matunda, ili watoto waweze kupata chakula bora chenye mchanganyiko wa makundi yote matano yanayotakiwa kuliwa na watoto.

Sambamba na hayo, Mkurugenzi Mtendaji, amewataka wakuu wa Idara na Vitengo, kushirikiana, kupendana katika kuhakikisha kuwa Halmqshauri ya Wilaya ya Makete, inakuwa kiuchumi, pamoja na kusimamia miradi ya maendeleo kimkakati.

Kwa Upande wake, Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Makete, Dkt. Jonathan Kitundu, amesema kuwa wamepokea ushauri wa kamati ya Lishe, na kwamba watahakikisha kuwa wapambana kutokomeza Udumavu wilayani humo, ikiwa ni pamoja kushirikiana vizuri na Wakuu wa Idara na Vitengo.

Naye, Kaimu Afisa Lishe wa Wilaya ya Makete, Bi. Agnes Columban, akiwasilisha taarifa za Ukekelezaji Afua za Lishe, amesema kuwa, wameweka mikakati ya Kuwajengea uwezo wazazi wa Watoto namna ya kuandaa Lishe bora, Kuhakikisha kuwa kila Shule inakuwa na Bustani ya Mboga na Matunda, pamoja na Kuhamasisha kufuga wanyama wadogo kama vile kuku, Sungura na ikiwezekana Ng'ombe wa Maziwa.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.