• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAKUU WA IDARA NA VITENGO SHIRIKIANENI NA WANANCHI KUTATUA KERO ZAO- DC SWEDA

Tarehe Iliyowekwa: March 22nd, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Samwel Sweda amewataka wakuu wa idara na vitengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, kushirikiana na wananchi katika kutatua kero zinazo wakumba kwenye maeneo yao.

Mhe. Sweda, ameyasema hayo leo Machi 22, 2024, wakati wa mkutano wa hadhara wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi, ambao umefanyika katika viwanja vya Ofisi ya kijiji Iwawa, kilichopo Kata ya Iwawa, Wilayani Makete, mkoani Njombe.

"Wakuu wa idara Kuna haja kubwa ya kushirikiana na wananchi wa Makete, kwasababu ndiyo wanajua changamoto nyingi ambazo zinaendelea katika jamii, pia itakuwa chachu kubwa ya maendeleo katika Wilaya hii ya Makete" Alisema Mhe. Sweda.

Aidha Mhe. Sweda amewaahidi wananchi wa Kata ya Iwawa, kuendelea kuboresha miundondombinu yote inayo izunguka Wilaya ya Makete sambamaba na kusimamia miradi yote inayoletwa na serikali ili iwe na tija katika jamii.

Kwa Upande wake, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Makete, Ndg. Ligoberth Kalisa amesema kuwa, huduma kwa mama mjamzito ni bure kwenye hospitali zote za serikali, huku akiwataka wananchi hao kutoa taarifa ambazo wanaona zipo tofauti na tamko la serikali.

Naye, Diwani wa kata ya Iwawa Mhe. Francis Chaula amesema kuwa, wananchi wa Kata hiyo wataendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika kuhakikisha kuwa Wilaya ya Makete, inakuwa kiuchumi sambamba na kusimamia miradi yote katika maeneo yao.

Haya hivyo, mmoja wakazi wa kata ya Iwawa Bi. Jackline Mvanda ameishukuru serikali kwa kuleta miradi mbali mbali kama vile Elimu na Afya, ikiwa ni pamoja na kupewa na nafasi ya kuzikilizwa na kutatuliwa kero zao ambazo zimekuwa kurudisha maendeleo nyuma.














ReplyForward


Add reaction










Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.