• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANANCHI WAOMBA UMEME MAGO NA KISINGA

Tarehe Iliyowekwa: June 15th, 2022

Wananchi wa kitongoji cha Idege na vitongoji vingine Kijiji cha Mago na Kisinga Kata ya Lupalilo wametakiwa kuwa wavumilivu kwa kuchelewa kupata huduma ya umeme ilihali wamesuka nyumba zao tangu mwaka 2018.

Rai hiyo imetolewa Ndg. Hussein Bakari kwa niaba ya Meneja wa TANESCO Wilaya ya Makete mara baada ya wananchi hao kutaka kujua mpango wa Serikali kuwaingizia umeme ukoje.

Bakari amesema “Serikali imeshatenga fedha kwa mwaka ujao wa 2022/23 inakuja na mpango wa Umeme jazilizi kwenye vitongoji, ambapo kila mwananchi aliyekosa huduma hiyo wakati mradi wa REA ulipokuwa ukitekelezwa atafikiwa na huduma hiyo”.

Niwaombe wateja wetu kuwa wavumilivu kwa muda mfupi ujao…tumeshajipanga kuwafikia wananchi wote hata ambao mlikosa awamu iliyopita kila kitongoji kitafikiwa na Umeme Wilaya yote ya Makete”

Wananchi wa Kijiji cha Mago na Kisinga wamesema, wamesuka nyaya za umeme tangu mwaka 2018 nyumba zaidi ya 50 hazijapata umeme mpaka leo.

Wakati huohuo Mbunge Jimbo la Makete Mh. Festo Sanga tarehe 2 juni, 2022 akiwa Bungeni Dodoma aliuliza swali kwa Waziri wa Nishati kutaka kujua mpango wa Serikali kuwapelekea huduma ya Umeme wananchi zaidi ya elfu 2 mpaka elfu 3 waliosuka nyumba zao na hawana Umeme.

Waziri wa Nishati Mh. Januari Makamba alisema Serikali imelichukua jambo hilo na litafanyiwa kazi kwa kuwa bajeti ya Mwaka ujao wa fedha 2022/23 huduma ya umeme jazilizi kwenye vitongoji inaanza kuwafikia wananchi bila kusahau waliosuka nyaya tayari.

Pia Ndg. Hussein Bakari amewataka wananchi kuanza kujenga mazoea ya kutumia huduma ya nikonekti kupitia *152*00# OK na kufuata maelekezo ambapo huduma hiyo inamrahisishia mteja kuondokana na usumbufu wa kufika ofisi za Tanesco na kukwepa vishoka.

“katika huduma hii ya nikonekti unaweza kutumia simu ya kawaida au simu janja kujaza taarifa zako na sisi TANECO tutafika mahali ulipo kukuletea huduma ya umeme”.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.