• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANANCHI WILAYANI MAKETE WATAKIWA KULIMA MAZAO MCHANGANYIKO - DC SWEDA

Tarehe Iliyowekwa: January 30th, 2024

Wananchi wa Kata za Mlondwe na Itundu zilizopo Wilayani Makete Mkoani Njombe, Januari 30, 2024, wemeshauriwa kulima mazao aya aina mbalimbali ya chakula ili kuepukana na njaa pamoja na kujikwamua kiuchumi kotokana na wananchi wa maeneo hayo kulima kwa wingi zao moja la kibiashara.(Viazi Mviringo). 

Hayo yamesemwa na mkuu wa Wilaya ya Makete Mh.Juma Sweda, akiwa kwenye mkutano wa hadhara ambao umefanyika katika kata hizo mbili, za Mlondwe na Itundu, wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kugundua kuwa wananchi hao wamekuwa wakilima zao moja tu la biashara na kupelekea kukosa chakula Kwa msimu wote.

Aidha Mhe. Sweda, amewataka wananchi hao kulima Ngano kwa wingi kwani tayari serikali imeshatoa mbegu bure kwa kwaajili ya wakulima ambao watakuwa tayari kulima zao hilo, ambapo Kata ya Mlondwe imeshapata tani 14 za mbegu hizo kwajili ya msimu mpya wa Kilimo.

Kwa Upande Afisa Kilimo, wa Kata ya Mlondwe Bw. William Lupenza, ameishukuru serikali kwa kutoa bure mbegu hizo, na kwamba tayari wameshaanza kufanya mikutano ya hadhara na wananchi kwaajili ya kutoa elimu kwa wakulima, ya namna bora ya kulima zao hilo muhimu la kibiashara ili waweze kulima kitaalamu. 

Nao, Baadhi ya wananchi wa Kata hizo, wamemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mh. Juma Sweda, kwa kuwatembelea na kusikiliza kero zao pamoja na kuzitatua, ikiwemo ubovu wa barabara kwenye maeneo hayo huku wakisema wapo tayari kwa kilimo cha Ngano na wamewaomba maafisa kilimo kuendelea kutoa elimu ya kilimo hicho ili waweze kunufaika nacho .

Ikumbukwe kuwa, Mkuu wa wiliya ya Makete Mh. Juma Sweda bado anaendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya halimashauri ya wilaya Makete na katika ziara hizo anawasihi wananchi kushirikiana na serikali katika shughuli mbalimbali za maendeleo.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.