• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANANCHI WILAYANI MAKETE WATAKIWA KUSHIRIKI KWENYE MBIO ZA MWENGE WA UHURU

Tarehe Iliyowekwa: June 1st, 2024

Mratibu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mkoa wa Njombe Ndg. Flavian Kitago amesema kuna haja ya kuwahimiza wananchi kushiriki katika shughuli za Mbio za Mwenge wa Uhuru, kutokana na umuhimu wake katika kuchochea Maendeleo katika jamii.

Ndg. Kitago, amesema hayo leo, Juni 1, 2024 wakati wa ukaguzi wa miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru mwaka huu wa 2024, ambapo ziara hiyo imefanyika na Kamati ya uratibu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Njombe kwa kushirikiana na Kamati ya uratibu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Makete.

Aidha Ndg. Kitago amewashauri wasimamizi wa Miradi, kuhakikisha kuwa Miradi hiyo inakamilika na Uwepo wa nyaraka zote muhimu, ili ilete tija katika jamii.

Kwa Upande, Mkurugenzi Mtendaji Wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe amesema kuwa, mikakati ya halmashauri ni kuhakikisha miradi yote inakamilika ili iweze kutumika na wananchi wa maeneo husika.

Nae Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe, Ndg. Abubakar Kunga amelitaka Jeshi la polisi Wilaya ya Makete, kudumisha ulinzi na usalama siku ya Mbio za Mwenge wa Uhuru, ili wananchi waweze kusherehekea kwa amani na Utulivu.

Nae Diwani wa Kata ya Ikuwo Mhe. Gwelino Mwasanga ameishukuru Kamati ya Mbio za Mwenge Uhuru, Wilayani Makete kwa uamuzi wa kupeleka mradi wa Maji katika Shule ya Msingi Ighala, kwakuwa unaenda kutatua adha ya huduma hiyo shuleni hapo pamoja na wananchi waishio maeneo ya jirani.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.