• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANANCHI ZAIDI YA 19,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA MUM MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: June 1st, 2023

Wataalamu wa Maji kutoka RUWASA Taifa, Mkoa na Wilaya ya Makete wamefika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Makete kutoa taarifa juu ya Program ya Maji na Usafi wa Mazingira (MUM) kupitia ufadhili wa Watu wa Marekani.

Program hiyo inatarajiwa kutekelezwa katika Wilaya ya Makete na Ludewa Mkoa wa Njombe kwa Lengo kuboresha upatikanaji wa huduma ya Maji, usafi wa Mazingira, kutoa kipaumbele katika kuimarisha, utendaji kazi wa raslimali watu na kuhakikisha kunakuwepo ushirikishwaji wa Jamii katika utekelezaji wa miradi ya Maji pamoja na usimamizi na uendeshaji wa Skimu za Maji kwa kuziimarisha CWBSOs.

Akitoa taarifa ya utekelezaji wa Mradi huo Meneja wa RUWASA Makete Mhandisi Innocent Lyamuya amesema mradi huo utasaidia upatikanaji wa kutoa huduma kwa Wananchi Zaidi ya 19,439 katika Wilaya ya Makete.

Enock Wapala kutoka RUWASA Makao Makuu amesema lengo la RUWASA kwa kushirikiana na Tetratech inayotekeleza Program ya MUM ni kuhakikisha huduma ya Maji inakuwa bora na endelevu katika kijiji cha Ihanga, Luwumbu, Makusi, Lugoda na Magoye ambayo itafanyiwa usanifu na kujengwa.

Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda, Afisa Tarafa ya Lupalilo Augustino Ngailo amewapongeza RUWASA na Tetratech kupitia Program MUM kwa kutambua umuhimu wa kuongeza huduma za Maji safi na Maji Taka katika maeneo yaliyoainishwa ikiwemo Iwawa na Ikonda huku akiahidi ushirikiano kwa kila hatua.

Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Makete Bi. Jacklin Mrosso amesema Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na RUWASA, Tetratech na Mamlaka ya Maji na usafi wa Mazingira Makete (MAKEUWASA) wapo tayari kuhakikisha wananchi wanapata huduma hiyo wakiwemo wananchi wa Kigulu.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.