• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANAOPOTOSHA KUHUSU CHANJO YA UVIKO-19 WACHUKULIWE HATUA

Tarehe Iliyowekwa: July 13th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Juma Sweda ameagiza kuchukuliwa hatua kwa mtu yeyote atakayebainika kupotosha zoezi la uchanjaji wa chanjo ya UVIKO-19.

Agizo hilo ni kufuatia uwepo wa baadhi ya watu kupotosha wananchi kuhusu chanjo ya UVIKO-19 ambapo watendaji wa vijiji wamebainisha kuwa zoezi hilo linakwamishwa na baadhi ya watu wenye nia mbaya na wananchi.

Akizungumza na watendaji wa Vijiji, Kata na wakuu wa Idara hapo jana tarehe 13 julai kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Mh. Sweda amesema uwepo wa baadhi ya watu wachache kupotosha wananchi kuhusu chanjo usisababishe kukwama kwa zoezi la kuwafikia wananchi kutoa elimu na kuwachanja chanjo ya UVIKO-19 kupitia kampeni iliyoanza tarehe 11 julai na itahitimishwa tarehe 18 julai 2022.

“Asitokee mtu tofauti kutoa maelekezo yaliyo kinyume na utaratibu, sio watu wote wanakubaaliana na zoezi hili lakini wale wanaopotosha kuhusu maelekezo ya Serikali wachukuliwe hatua, hatulazimishi watu kuchanja lakini tunahakikisha tunatoa elimu ya kutosha ili waelewe umuhimu wa kuchanja”

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete ndg, William Makufwe amewaasa watendaji hao kwa kushirikiana na watoa huduma za Afya kuhakikisha wanatoa elimu kwa wananchi wao juu ya umuhimu wa zoezi hilo ambalo linaweza kuwasaidia wananchi kuwakinga na kueneza maambukizi ya UVIKO-19

“Kampeni tuliyonayo sasa ni kuhakisha tunatoa elimu ya umihimu wa chanjo kwa kumfanya mtu kuwa na hali nzuri kiafya, usalama wa watu wetu ni kuhakikisha wamechanjwa, kila nyumba tutaifikia kutoa elimu ya chanjo”.

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Makete Ligobert Kalisa amesema zoezi la kuchanja wananchi linafanyika nchi nzima, hivyo katika Wilaya ya Makete wanatarajia kuwafikia wananchi zaidi ya 70% kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea.

“Tumejipanga vizuri kupitia wahudumu wetu wa Afya kuanzia ngazi ya Kijiji mpaka Wilaya kuhakikisha wananchi wetu wanapata chanjo ili wawe salama, hivyo niwaombe wananchi wajitokeze na kutoa ushirikiano ili kufanikisha zoezi hili muhimu kwa watanzania”.

Kampeni ya chanjo imeanza tarehe 11 julai 2022 mpaka tarehe 18 julai, 2022.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.