• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANAUME TIMIZENI MAJUKUMU YENU KATIKA KUPAMBANA NA UDUMAVU

Tarehe Iliyowekwa: November 23rd, 2023

Wanaume wametakiwa kushirikiana na wake zao katika kuhakikisha mtoto mdogo analelewa kwa kuzingatia Lishe Bora tangu kutungwa kwa ujauzito, ili kutokomeza Udumavu hapa nchini, pamoja kuwa kizazi kijacho chenye uwezo mkubwa kiakili.

Hayo yamesemwa leo Novemba 23, 2023, na Kaimu Afisa Lishe wa Wilaya ya Makete, Bi. Agnes Columbani, wakati akitoa Elimu ya Umuhimu wa matumizi ya Lishe Bora kwa watoto wadogo wenye umri chini ya miaka 2, katika vijiji vya Ukange na Igumbilo, vilivyopo kata ya Lupila, kuwa suala la Malezi ya mtoto mdogo ni la wazazi wote, hivyo baba anatakiwa kuhakikisha kuwa mahitaji yote muhimu kama vile Chakula Bora,kinapatikana nyumbani.

"jukumu la baba si kuweka tu ujauzito na kumwacha mama apambane nao mwenyewe, mtoto anatakiwa kupata matunzo tangu akiwa tumboni mwa mama yake, kwa kuhakikisha kuwa mjamzito anapata Lishe Bora ambayo itamfanya mtoto akue vizuri " Alisema Bi. Agnes Columbani.

Kwa Upande wake, Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Bi. Esther Lamosai, amekemea vitendo vya Ukatili kwa watoto wadogo ambavyo vimeonesha kukithiri, katika siku za hivi karibuni, ikiwa ni pamoja na kupambana na mimba za utotoni.

"kumekuwa na ongezeko la Mimba za utotoni, kwa siku za Karibuni, na kupelekea ongezeko la Udumavu kwa watoto wadogo, hivyo basi kila mtu awajibike Kwa nafasi yake kama mzazi" Bi. Esther Lamosai.

Naye, mkazi mmoja wa Kijiji cha Ukange, Bi. Epifania Ndelwa, amewashukuru wawezeshaji kwa kutoa Elimu hiyo, ambayo imewafungua kwa kiasi kikubwa, ambapo imewapelekea kutambua umuhimu wa Lishe Bora, pamoja na majukumu ya kila mzazi ndani ya familia.

"wanaume wengi wamekuwa wanatuachia sisi akinamama katika jukumu la kulea Watoto wadogo, ndio maana Utapiamlo unaongezeka, hivyo tunashukuru sana kwa huu ujio wenu, mmetusaidia sana kuwafanya akinababa wayajue majukumu yao ya kulea mtoto kwa kutoa Lishe Bora tangu akiwa tumboni mwa mama" Alisema Bi. Epifania Ndelwa.

 Ikumbukwe kuwa, Kampeni ya utoaji elimu ya Umuhimu wa Lishe Bora kwa Watoto wadogo, chini ya Umri wa miaka miwili, imeendelea leo Novemba 23, 2023, katika Kata ya Lupila, ambapo timu imetembelea vijiji viwili vya Ukange na Igumbilo

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.