• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANAUME WILAYANI MAKETE WAHIMIZWA KUJIHUSIHA NA UBORESHAJI WA LISHE KWA WATOTO WAO

Tarehe Iliyowekwa: February 6th, 2025

Wakuu wa Idara , Vitengo pamoja na Watendaji wa Kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, leo Februari 6, 2025, wametakiwa kuhakikisha kuwa wanaendeleza Mapambano dhidi ya Udumavu katika halamashauri hiyo. 

Rai hiyo, imetolewa na Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Makete, ambaye ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Bi. Grace Mgeni, wakati wa kikao Cha Kupokea na Kujadili taarifa ya Utekelezaji wa Afua za Lishe katika Halamashauri ya Makete kwa Robo ya Pili ya Oktoba hadi Desemba 2024.

Aidha, Bi. Grace, ametoa wiki mbili kukamilisha Ujenzi wa Mabanda ya Ng'ombe wa Maziwa kwa Kata zote ambazo zipo kwenye mradi huo ambao unazihusisha Shule za Msingi zilizopo kwenye Kata hizo kama vile Ukwama na Kipagalo.

Akichangia hoja katika Kikao hicho, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Bi. Jacklina Mrosso, amewataka Watendaji hao kuhakikisha kuwa wanaume wanahusishwa kikamilifu kwenye upambanaji wa Udumavu Wilayani humo.

Kwa Upande wake, Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Bi. Jackline Nanauka, akiwasilisha taarifa ya Utendaji kazi wa Kitengo hicho, amesema kuwa Elimu ya Umuhimu wa Lishe Bora kwa Watoto imeendelea kutolewa katika kila eneo ikiwa ni pamoja na kufanya matukio mbalimbali ya kuhamasisha Wazazi na Walezi upikaji wa vyakula vyenye Lishe Bora.

Naye, Mtendaji wa Kata ya Iwawa, Ndg. Robert Nnko, amesema kuwa watahakikisha kuwa Udumavu unakomeshwa Wilayani humo, kwa kutoa elimu ya Umuhimu wa Lishe Bora kwa Wazazi ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha wanaume kwenye shughuli zote za Lishe.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.