• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WATENDAJI WATAKIWA KUSIMAMIA MAPATO KIWELEDI

Tarehe Iliyowekwa: September 18th, 2023

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Mhe. Christopher Yonam Fungo, amewataka watendaji wote kuanzia ngazi ya kata hadi vijiji kuhakikisha wanakusanya mapato ya kutosha ili serikali iweze kutimiza wajibu wake kwa wananchi.

Mh. Fungo, amesema hayo leo September 18, wakati akizungumza na watendaji kata, vijiji, makatibu Tarafa pamoja na wakuu wa idara na vitengo, kuwa kila mtu lazima awajibike kwa nafasi yake ili kuhakikisha halmashauri inakuwa na mapato ya kutosha.

Naye mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. William Makufwe amewataka watendaji wa vijiji na kata, kujua vipaumbele vyao katika utumishi wa umma, ili kuwe na ufanisi katika utendaji kazi wao.

Aidha Ndg. Makufwe ameongeza kuwa endapo kuna mtendaji hatakuwa tayari kuendana na kasi ya serikali ya sasa ni bora atafute shughuli nyingine ya kufanya kwakuwa hawatakuwa tayari kuvumilia upotevu wa mapato ambao unafanywa na baadhi ya watumishi.

Kwa upande mwingine, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Makete, amewataka wafanyabiashara kuhakikisha kuwa wanakata ushuru wa bidhaa zao katika kijiji husika ambacho amenunulia mzigo wake ili kutokumbana na faini au mkono wa sharea.

Kwa upande wake katibu Tarafa wa Lupalipo Ndg. Augustino Alex Ngailo, ameupongeza uongozi wa Halmashauri pamoja na menejimenti kwa ujumla kwa kuamua kusikiliza changamoto za watendaji wa vijiji pamoja na kata, ambazo wamekuwa wakikutana nazo katika shughuli zao za kila siku hasa katika ukusanyaji wa mapato.

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.