• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WATU ZAIDI YA 400 WAKIWEMO WAFUNGWA MAGEREZANI WAMEPIMWA KIFUA KIKUU MKOA WA NJOMBE

Tarehe Iliyowekwa: April 10th, 2023

Zaidi ya watu 400 wakiwemo Wafungwa, Askari Magereza na Jamii inayowazunguka Mkoa wa Njombe wamepimwa maambukizi ya Ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) ikiwa ni mkakati wa kupambana na Kifua Kikuu kwa watu waliopo maeneo hatarishi.

Serikali kwa kushirikiana na Tanzania Health Promotion Support leo tarehe 10 Aprili wakiwa na Wataalamu wa Afya kutoka Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Kuambukiza Kibong’oto wamewezesha kufanya zoezi hilo katika Mkoa wa Njombe ikiwa ni moja ya mikoa inayokabiliwa na maambukizi ya Kifua Kikuu.

Mratibu wa Kifua Kikuu Kisulila Matanga kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe amesema zoezi la kutoa Elimu ya Kifua Kikuu na uchunguzi limefanyika katika Mkoa wa Njombe na kuhakikisha wanapunguza maambukizi ya Kifua Kikuu kwa wananchi.

Matanga amesema kuwa Wilaya ya Ludewa inaongoza kwa kuwa na maambukizi mengi ya Kifua Kikuu, ikifuatiwa na Wilaya ya Makete huku akibainisha kuwa matokeo ya ugunduzi wa Kifua Kikuu yameanza kuonekana.

Dkt. Guido Libaba Meneja ufundi mradi wa USAID Police and Prisons Activity Kanda ya Kati na Kusini amesema lengo la mradi ni kutoa huduma katika Vituo vya Afya vya Polisi, Magereza na Jamii inayowazunguka.

Baadhi ya Wananchi  waliopata huduma ya upimaji na Elimu ya Kifua Kikuu wameshukuru Serikali kupitia mradi wa USAID Police and Prisons Activity kwa kuwasogezea huduma karibu huku wakiwasihi wananchi wengine kujitokeza kupima Afya zao mara kwa mara 

Zoezi hilo limeanza tarehe 6 Aprili na litahitimishwa tarehe 12 Aprili 2023 katika Mkoa wa Njombe ambapo inatarajiwa watu zaidi ya 500 watakuwa wamepimwa kifua Kikuu

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.