• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WATUMISHI MAKETE WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA BULONGWA

Tarehe Iliyowekwa: June 16th, 2022

Ofisi ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na watumishi wametembelea kituo cha watoto yatima Bulongwa na kutoa msaada wa vyakula mbalimbali na zawadi kwa watoto hao

Zawadi hizo zimetolewa leo kituo cha watoto yatima kilichopo kata ya Bulongwa katika kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika inayofanyika kila mwaka juni 16.

Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Makete Bi. Jacline Mrosso ameshukuru uongozi wa Kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kusini Kati Makete (KKKT-DKK) kwa moyo wa upendo ambao Kanisa hilo na watumishi wa kituo hicho wanavyowalea Watoto hao

Watoto wanaolelewa kituoni hao wamekutana na changamoto mbalimbali ikiwemo kufiwa na wazazi wao, ulemavu, na wengine wazazi wao kupata kichaa cha mimba mara baada ya kujifungua.

“Niwashukuru sana Kanisa, watumishi pamoja na wadau wanaojitolea kuwalea watoto hawa kwa hali na mali, kuishi na mtoto ambaye siyo wako sisi sote tunajua jinsi ilivyo changamoto lakini ninyi mnaweza Mungu awasaidie sana muendelee kuwa na moyo huo wa upendo”.

Meneja wa Kituo cha kulelea Watoto bi. Vaileth Chaula amewashukuru wadau hao na Serikali jinsi ambavyo wamekuwa wakitoa msaada mara kwa mara kwa Watoto wanaohudumiwa na kituo hicho.

“Naishukuru Serikali, wadau Pamoja na Mheshimiwa Mbunge Festo Sanga mmekuwa bega kwa bega katika kuwalea watoto hawa ambao wanauhitaji mkubwa wa mahitaji muhimu waliyoyakosa kutoka kwa wazazi wao, Mungu awaongezee zaidi”.

Mhasibu wa kituo hicho Ndg. Fastuel Nkwama pamoja na kuwashukuru wadau hao amesema kituo kinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo wadau kutoka nchini Sweden ambao wamesitisha kutoa huduma tangu janga la COVID-19 lilipoanza hivyo kupelekea upungufu wa mahitaji kwa watoto.

Kituo cha watoto yatima Bulongwa kwa sasa kinawatoto 17 wanaolelewa hapo na wengine wakindelea na masomo ya sekondari, shule ya msingi na awali na mmoja akiwa chuo cha Veta Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.