• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WATUMISHI WANNE WAFUKUZWA KAZI MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: September 28th, 2022

Waliokuwa watumishi wanne (4) katika Halmashauri ya Wilaya ya Makete wamefukuzwa kazi kwa ubadhirifu wa fedha za Mapato ya ndani na mmoja ni utoro kazini na kuisababishia hasara Serikali.

Maamuzi hayo ni kufuatia Kikao maalumu cha Baraza la Madiwani lilikutana leo kujadili maadili ya watumishi zaidi ya 60 ambapo kati ya hao watumishi wanne wamefutwa kazi na watumishi watano (5) wameagizwa kukatwa mishahara yao 15% kwa mwaka mmoja, wengine miaka miwili na mmoja miaka mitatu

Watumishi waliofukuzwa kazi ni aliyekuwa Mtendaji Kata ya Mbalatse Omega Aloyce Thobias ambaye amefukuzwa kwa utoro kazini kwa kipindi cha siku 214.

Watumishi wengine ni waliokuwa watendaji wa vijiji ambao ni Bryson Isaack Sanga aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Ludihani, Godwin Jacob Luvanda aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Ikuwo na Tumaini Shem Ngogo aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Kigala

KUTAZAMA VIDEO BONYEZA HAPA

Watendaji hao watatu wamefukuzwa kwa ubadhirifu wa fedha za mapato ya ndani ambapo Tumaini Ngogo amekusanya fedha zaidi ya Milioni 44 na kupeleka Bank.

Akizungumza na waandishi wa Habari baada ya Kikao hicho, Mkueugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete William M. Makufwe amesema kufuatia kubainika na makosa watumishi hao wamefutwa kazi kuanzia sasa.

“Niwasihi watumishi wengine tuliopo kazini zama za kutumia fedha za makusanyo zikiwa chini ya makusanyo yao zimeshapitwa na wakati na unakamatwa wakati wowote…ukikusanya kuanzia shilingi laki tano hakikisha fedha hizo zinakuwa salama kwa kupeleka Bank ili waepuke kingia kwenye vishawishi vya wizi wa fedha hizo”.

“Kuhusu huyu Mtumishi ambaye amekuwa mtoro kwa kipindi cha zaidi ya siku 200 naye amefukuzwa kazi kwa kutokuwepo kazini wakati taratibu zote za kumfuta kazi zimefanyika kwa kufuata sheria za utumishi”

Kwa niaba ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri (W), Diwani Kata ya Mfumbi Mhe. Atilyo Ng’ondya amesema watumishi wanapaswa kuwa makini na matumizi ya fedha za Serikali kwa kuwa Serikali ina mkono mrefu na vyombo vingi katika kuwasimamia watumishi wake.

Matangazo

  • Taarifa muhimu kwa Wafanyabiashara wote Wilayani Makete September 19, 2023
  • Matokeo ya usaili Kada ya Udereva II September 21, 2023
  • Matokeo ya usaili wa mahojiano ya ana kwa ana ambao umefanyika Tarehe 24/09/2023- Kada ya Mtendaji wa Kijiji III September 25, 2023
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI WATAKIWA KUSIMAMIA MAPATO KIWELEDI

    September 18, 2023
  • WAANDISHI WA HABARI NJOMBE & RUVUMA WAPIGWA MSASA KUHUSU SENSA 2022

    September 18, 2023
  • WANANCHI WAASWA KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAKULIMA MAKETE

    September 05, 2023
  • WANANCHI PIMENI ARDHI MPATE HATIMILIKI-MAOFISA ARDHI MAKETE

    August 31, 2023
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • MAKETE DC Online TV
  • MAKETE DC Instagram page
  • PLANREP
  • MAKETE DC Facebook page
  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • BEMIS
  • HIMS
  • FFARS

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.