• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAUMINI KKKT-DAYOSISI YA KUSINI MAGHARIBI WAMUOMBEA DC SWEDA APONE MAPEMA

Tarehe Iliyowekwa: May 28th, 2023

Waumini wa KKKT-DAYOSISI YA KUSINI MAGHARIBI Wamuombe Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda na wote waliopata ajali Mwenyezi Mungu awape wepesi wapone kwa haraka.

Leo Mei 28, 2023 Waumini hao wakiongozwa na Stephen Nguvila Askofu wa KKKT-KUSINI MAGHARIBI ambaye kwa niaba ya Wauimini amesema kufuatia ajali iliyotokea tarehe 22 Mei, 2023 kwenye barabara ya Matamba-Chimala ni Mungu pekee aliyewaalinda na maombi yao ni kuona wote waliopata ajali hiyo wanarejea katika Afya zao na kuendelea na majukumu yao ya kulitumikia Taifa.

Kwa sasa Mkuu wa Wilaya na Afisa Usalama Wilaya bado wanaendelea kupata Matibabu katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Dar Es Salaam,  Afisa Tawala akiendelea na Matibabu Hospitali ya Rufaa Mbeya, Afisa TAKUKURU na Dereva wameruhusiwa kutoka Hospitali na wote wanaendelea vizuri

Matangazo

  • Taarifa muhimu kwa Wafanyabiashara wote Wilayani Makete September 19, 2023
  • Matokeo ya usaili Kada ya Udereva II September 21, 2023
  • Matokeo ya usaili wa mahojiano ya ana kwa ana ambao umefanyika Tarehe 24/09/2023- Kada ya Mtendaji wa Kijiji III September 25, 2023
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI WATAKIWA KUSIMAMIA MAPATO KIWELEDI

    September 18, 2023
  • WAANDISHI WA HABARI NJOMBE & RUVUMA WAPIGWA MSASA KUHUSU SENSA 2022

    September 18, 2023
  • WANANCHI WAASWA KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAKULIMA MAKETE

    September 05, 2023
  • WANANCHI PIMENI ARDHI MPATE HATIMILIKI-MAOFISA ARDHI MAKETE

    August 31, 2023
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • MAKETE DC Online TV
  • MAKETE DC Instagram page
  • PLANREP
  • MAKETE DC Facebook page
  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • BEMIS
  • HIMS
  • FFARS

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.