• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI DKT. ANGELINA MABULA AKABIDHI HATI MILIKI ZA ARDHI ZAIDI YA 25..

Tarehe Iliyowekwa: August 10th, 2023



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleao ya Makazi Mhe. Dkt. Angelina Mabula amekabidhi Hati za umiliki wa Ardhi kwa wananchi Zaidi ya 25 kati ya 88 walioandaliwa Hati za umiliki wa Ardhi Wilayani Makete Mkoani Njombe.
Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi hati hizo Mhe. Mabula ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwasaidia wananchi kumiliki ardhi zao kwa kutumia hati za Kimila.
“Makete inahitaji kutazamwa kwa umakini mkubwa na kwamba Wizara ipo kwa ajili ya kusaidia kuendeleza upangaji na upimaji wa Ardhi katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Halmashauri ya Wilaya ya Makete”
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. Willium Makufwe, akitoa taarifa ya utendaji kazi wa Idara ya Ardhi Wilayani Makete, amesema kati ya viwanja 3,132 vilivyopimwa na kuidhinishwa, Viwanja Zaidi ya 2,647 vimeingizwa kwenye mfumo huku matarajio ikiwa ni kupima Ardhi yote wilayani hapa.
“kazi hii imefanywa na Halmashauri kwa kushirikiana na watalaamu kutoka Tume ya Mipango na Matumizi ya Ardhi lengo ikiwa ni kurasimisha maeneo ya Kilimo cha Ngano, kuzifikia taasisi za Kifedha, kupunguza migogoro, Usuluhishi wa Migogoro na kuondoa mwingiliano wa matumizi ya Ardhi”

Naye Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amesema Wilaya ya Makete ni Wilaya ya Kimkakati nchini kulingana na hali ya hewa kwa kipindi cha mwaka mzima tofauti na maeneo mengine na unaweza kupata baadhi ya Mazao ambayo hata Nchi za Ughaibuni yanapatikana.
Hata hivyo, Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Antony Mtaka amesema kuwa Mkoa wa Njombe ni mdogo kwa ukubwa lakini ni mahali ambapo Idara ya Ardhi inaweza ikafanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Ardhi ambapo ilipaswa kuwa imepimwa kwa asilimia miamoja (100%).
Nao Baadhi ya Wananchi walionufaika wa Hati miliki zilizotolewa wilayani hapa akiwepo Ndg. Fidoni Kyando, Mch. Kyando na Felister Chengula wamesema hati Miliki hizo zitawasadia wananchi kupata mikopo ili waweze kujiinua kiuchumi.

Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano serikalini.
Makete DC.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.