• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYANI MAKETE WATAKIWA KUFUATA ASHERIA, KANUNI NA MAADILI YA KAZI

Tarehe Iliyowekwa: May 15th, 2025

Wenyeviti wa vjiji na vitongoji Wilayani Makete, Mkoani Njombe, wametakiwa kuwasimamia wananchi kwa kufuata sheria na maadili mema kwa jamii ili waweze kuaminika na wananchi wanaowaongoza.

Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Hamphrey Mushi wakati akifungua mafunzo ya viongozi na utawala bora yaliyofanyika leo Mei 15,2025, kwenye ukumbi wa Fema uliopo Kata ya Matamba.

Aidha, Ndg.  Mushi, amewataka viongozi hao kuwashirikisha wananchi katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo na kuwasomea mapato na matumizi ili wajue matumizi sahihi ya fedha zinazotolewa na serikali pamoja na michango yao.

Kwa Upande wao Ndg. Beyond Madege na Boniface Michael kutoka chuo Cha serikali za mitaa, Hombolo kilichopo Mkoani Dodoma ,  wamewataka viongozi hao kuzingatia sheria, maadili ya kazi sambamba na kuleta mkanganyiko katika jamii.

Pia wameongeza kuwa, kiongozi yeyote wa serikali hayupo juu ya sheria, hivyo matumizi ya mabavu hayakubaliki katika jamii wanayoiongoza kwakuwa kufanya hivyo, kwani kufanya hivyo niukiukwaji wa sheria za jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Naye, Mkuu wa kitengo Cha uchaguzi wa  Halmashauri ya wilaya Makete Ndg. Kastory Ngonyani amewataka viongozi hao kujiepusha na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika October 2025, huku akiwataka kuwachagua viongozi wanaokubalika na wananchi na kuwa chachu ya kuhamasisha shughuli za maendeleo kwenye maeneo yao.

Wakili Issa J Mgang,  ambae ni mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya Makete, amewataka viongozi hao kuitisha mikutano na kuwasomea wananchi mapato kwa majibu wa sheria na ameongeza kuwa wenyeviti wa vjiji na vitongoji hawaruhusiwi kumiriki mihuri ya serikali kwakuwa kwa mujibu wa sheria watendaji wa vijiji ndio wenye mamlaka na wajibu wa kutunza nyaraka za serikali.

Ikumbukwe kuwa mafunzo hayo yataendelea siku ya ijumaa ya Mei 16 2025 kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Makete na yatahitimishwa siku ya jumamosi 17, 2025 katika Kata ya tandala.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.