• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WIZARA YA AFYA YAPONGEZA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: July 15th, 2023

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi (Afya) Dkt. Charles Mahera wameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kusimamia vizuri ujenzi wa Hospitali ya Wilaya na ukarabati wa Majengo unaoendelea.

Makatibu hao wametoa pongezi hizo mapema leo Julai 15, 2023 walipotembelea Hospitalini hapo na kukagua ujenzi huo ambao upo katika hatua za Mwisho kukamilika.

Viongozi hao wamesema ujenzi huo unaendelea vizuri na thamani ya fedha inaonekana katika majengo yanayoendelea kujengwa pamoja na ukarabati wanaoufanya kwenye baadhi ya majengo.

“Tumejionea samani zinazotumika kwenye ujenzi huu pamoja na vifaa vingine inaonesha jinsi mnavyosimamia fedha hizi zilizotolewa na Serikali kwa umakini…nikupongeze Mkurugenzi, Mganga Mkuu na watalaamu wote kwa usimamizi huu thabiti” Dkt. Magembe

“Serikali imenunua vifaa hivi vikubwa na muhimu kwa huduma ya wagonjwa, tunachotaka watalaamu wetu wawe na ujuzi wa kivitumia ili kutoa huduma stahiki kwa wagonjwa na lengo la Serikali ni vifaa hivi vipatikane mpaka kwenye Zahanati ili wananchi wasipate changamoto ya huduma umbali mrefu” Dkt. Mahera

Dkt. Grace Magembe na Dkt. Charles Mahera pia wamekagua Duka la Dawa na namna dawa zinavyohifadhiwa na kutolewa pamoja na mifumo ya utoaji wa huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Makete ambapo wamesema uhifadhi wa taarifa za wagonjwa uko vizuri na wanaitumia vizuri mifumo ya TEHAMA.

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete Willium Makufwe amesema Serikali imetoa fedha zaidi ya Milioni 900 kwa ajili ya kujenga na kukarabati miundombinu ya Hospitali hiyo ambayo imekuwa chakavu kwa muda mrefu.

Pia Makufwe ameongeza kuwa Serikali imetoa fedha Milioni 300 kujenga jengo la dharula ambalo limekamilika na linatoa huduma tayari katika Hospitali hiyo huku akiishukuru Serikali kwa kuwajali wananchi wake.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ligobert Kalisa amesema fedha zinazotolewa na Serikali wanahakikisha zinasimamiwa ipasavyo ili kutimiza adhma ya Serikali kwa kuboresha miundombinu ya utoaji wa huduma kwa wagonjwa.



Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.