• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ZAIDI YA MILIONI 300 KUPIMA ARDHI NA KUTOA HATI ZA HAKIMILIKI KWA WANANCHI MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: June 30th, 2023

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Antony Sanga amesema  kupitia Mpango wa matumizi ya Ardhi Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani ametoa Milioni Miatatu Sabini na nane kwa ajili ya kukamilisha zoezi la urasimishaji Ardhi na uaandaaji wa Hati za Hakimiliki kwa Wananchi kutoka Vijiji 44 Wilayani Makete

Akizungumza mapema leo Juni 30, 2023 kwenye Kikao cha maandalizi ya msimu wa Kilimo cha Ngano Wilaya ya Makete 2023/2023 kilichohudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe.  Antony Mtaka,  Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari, Mheshimiwa Mbunge Jimbo la Makete Festo Sanga  Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva, Mkuu wa Wilaya ya Wangi’ombe Mhe. Claudia Kitta, Wenyeviti wa Halmashauri za Mkoa wa Njombe,  Wakurugenzi wa Halmashauri, Viongozi wa Taasisi mbalimbali wakiwemo TARI, ADA, MCODE, TFRA, NMB, CRDB, Watumishi wa Halmashauri. ya Wilaya ya Makete pamoja na Wakulima wa Ngano

Katibu Mkuu Sanga amesema kupitia mpango huo kwa kipindi cha wiki moja na nusu zaidi ya migogoro ya ardhi 16 imetatuliwa na anaamini migogoro ya wakulima na wafugaji pamoja na Hifadhi haitokuepo Wilayani Makete.

Amesema  zaidi ya vijiji 44 vya wilaya ya makete vinapimwa kwa ajili ya mpango wa matumizi Bora ya ardhi na kuwapatia hati za Hakimiliki za kimila.

Alisema mpaka kufikia tarehe 17 Julai 2023 Hati za Hakimiliki hizo zitakua tayari zimekamilika ambapo zitakwenda kuwasaidia wakulima kupata mikopo kwenye Taasisi za kifedha ili waweze kujikita kwenye kilimo chenye tija kwenye mazao ya Ngano, viazi na Biashara

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.