• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ZAIDI YA MITI 2000, YAPANDWA WILAYANI MAKETE, IKIWA NI UZINDUZI WA KAMPENI YA UPANDAJI MITI KIWILAYA.

Tarehe Iliyowekwa: January 22nd, 2024

Zaidi ya Miti elfu 2000, imepandwa leo Januari 22, 2024, Wilayani Makete, mkoani Njombe, ikiwa ni uzinduzi wa kampeni ya Upandaji wa miti kiwilaya, katika shule ya msingi Ikonda iliyopo wilayani humo, ikiwa ni njia mojawapo ya kupambana na uharibifu wa mazingira, pamoja na utunzaji wa vyanzo vya maji.

Akiongoza zoezi hilo, kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma Sweda, Katibu Tarafa wa Lupalilo, Ndg. Augustine Ngajilo, amesema kuwa, shughuli ya kupanda miti na kuituza jukumu la wote, kwakuwa ni muhimili muhimili wa vyanzo vya maji pamoja na hali ya hewa nzuri.

Aidha, Ndg. Ngajilo, amewataka wakazi wa Makete, kupanda miti kwa wingi ili kuzuia majanga ya mvua ambayo yamekuwa yakiendelea kutokana na mvua hizo kuambatana na upepo mkali, ambao umekuwa ukipelekea kuezuliwa kwa mapaa ya nyumba za wananchi.

Kwa Upande wake, Ndg. Moses Ndiu, kutoka Wakala wa huduma za misitu Tanzania TFS, amewataka wananchi kuitunza miti hiyo kwa kuihudumia vizuri ili iwe na tija kwa siku za baadae, kutokana na uhitaji mkubwa wa mazao ya miti hapa nchini.

Naye, Diwani wa kata ya Tandala Mhe. Daniel Hatanaka kuwa ni jukumu lao kama Kata, kuitunza miti yote iliyopandwa na kila mwananchi, ambapo kila mwanachi kuwajibika, sambamba na kuwapa watoto elimu ya umuhimu wa kutunza miti ili iweze kuwa na tija kwa miaka ijayo.

Halmashauri ya Wilaya ya Makete imekua ikitoa elimu ya umuhimu wa kupanda miti ili kutunza mazingira, licha ya kuwepo kwa changamoto ya uchomaji moto hovyo, ambapo hadi sasa zaidi ya hekari za miti elfu 3000 kwa mwaka 2023 zimechomwa moto, na kupelekea kuteteresha uchumi kwa baadhi ya wawekezaji wa mazao ya miti.

Imeandaliwa na: 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.

Halmashauri ya Wilaya ya Makete

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.