• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kitengo cha Tehama

UTANGULIZI

Kukua kwa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika karne chache zilizopita kumesababisha fursa ya kuungana kwa huduma mbalimbali kama kurusha matangazo ya Television na Redio, Mawasiliano ya simu na kukokotoa (kumputing) . Teknolojia ya Habari na Mawasiliano imeleta matokeo mazuri katika uendeshajia wa biashara, kurahisisha utoaji wa elimu na kubadilishana maarifa mbalimbali ,kuwezesha jamii katika shughuli za kiuchumi, na kuileta karibu jamii ya kimataifa katika upashanaji wa habari. Pia TEHAMA imekuwa kiungo muhimu na chachu katika kusukuma michakato ya maendeleo ili kuongeza ufanisi na kukuza uchumi wa pamoja.

Serikali imefanya juhudi kubwa katika kueneza TEHAMA hapa nchini kwa kufanya mageuzi mbalimbali kama ubinafsishaji, Uhuru wakutoa Huduma za mawasiliano, kuibuka kwa makampuni binafsi na wajasiriamali, kwa juhudi hizi serikali ilikuwa na dhumuni la kuifanya Tanzania kuwa kiungo cha Miundo mbinu ya TEHAMA na suluhisho kuu la huduma za TEHAMA ili kuleta maendeleo endelevu ya Kijamii na Kiuchumi na kupunguza umasikini.

Halmashauri ya Wilaya ya Makete imetambua wajibu wa Serikali katika kueneza TEHAMA kwa maendeleo ya Jamii na Uchumi ya taifa na kuleta Sera ya TEHAMA ya Wilaya inayotokana na misingi ya Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2025 na Mipango Shirikishi ya Maendeleo ya Halmashauri.

Sera hii ina dhamira ya kujenga uchumi endelevu, kupunguza umasikini, kuchochea uwekezaji , kuongeza maarifa ya TEHAMA na kuwepo mawasiliano rahisi yasiyo na mipaka.

 Ili kufikia malengo yaliyowekwa inatupasa kuweka juhudi na kuhakikisha sera inafanya kazi, kwa kuweka mikakati inayofaa na kufuata viwango vya ubora wa TEHAMA hatimaye matumizi sahihi ya TEHAMA ambayo yatachangia kuleta maendeleo ya Kijamii na Kiuchumi ya sasa na baadaye.

Kitengo Cha Tehama na Uhusiano
Kazi za kitengo:
Kitengo kitasimamiwa na Mkuu wa Kitengo ambaye ataratibu na kusimamia shughuli zote za TEHAMA na Uhusiano katika Halmashauri.
Eneo la Tehama
Kuhakikisha mifumo ya TEHAMA iliyopo katika Halmashauri inafanya kazi kama inavyotakiwa;
Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumishi wote wa Halmashauri katika eneo la TEHAMA;
Kutoa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri katika masuala ya TEHAMA zikiwemo programmu mbalimbali;
Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa mifumo, miundombinu na vifaa vya TEHAMA;
Kuibua mahitaji ya mifumo ili iweze kusanifiwa na kisha kutengenezwa na kutumika;
Kuchambua na kuainisha huduma zinazoweza kutolewa na mifumo ya kielekroniki katika Halmashauri;
Kuhakikisha miundombinu kiambo (Local Area Network) katika Halmashauri inafanya kazi na mtandao wa intaneti unapatikana;
Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za TEHAMA katika Halmashauri;
Kutengeneza utaratibu mzuri wa kutunza taarifa na data ili ziweze kutumika wakati wa majanga;
Kufanya na kusimamia matengenezo ya vifaa vyote vya TEHAMA;
Kutafiti na kuchambua matatizo ya vifaa vya TEHAMA na kutoa suluhisho;
Kushirikiana kwa karibu na wataalamu wa TEHAMA wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo;
Kutoa specification za vifaa kwa ajili ya manunuzi;
Kushiriki katika zabuni za vifaa vya TEHAMA na kuhakiki ubora wake kabla havijaanza kutumika; na
Kuhakikisha Halmashauri ina tovuti na inapatikana wakati wote
Eneo la Uhusiano
Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa kazi za Uhusiano;
Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za Uhusiano katika Halmashauri;
Kutangaza kazi na miradi inayofanyika katika Halmashauri;
Kutangaza maeneo ya uwekezaji ya Halmashauri katika tovuti, radio na majarida;
Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ina taarifa mpya kila wakati pamoja na District Profile;
Kuandaa na kutoa majarida kuhusu Halmashauri;
Kushiriki katika mijadala ya jamii kuhusu masuala ya Halmashauri;
Kutumia TEHAMA katika kutoa elimu kwa jamii;
Kusimamia press briefing za Halmashauri;
Kushauri Halmashauri juu ya uandaaji, uzalishaji na usambazaji wa nyaraka kwa wadau mbalimbali; na
Kushirikiana kwa karibu na afisa uhusiano wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI. October 24, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 18, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Uzinduzi wa kliniki ya utoaji huduma kwa watoto wenye tatizo la miguu kifundo

    September 03, 2020
  • Taarifa ya vikao vya kisheria katika Halmashauri ya Wilaya ya Makete

    February 25, 2020
  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019

    October 08, 2019
  • MWENGE WA UHURU MAKETE 2019

    September 19, 2019
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • KITULO FM BLOG
  • BEMIS
  • FFARS
  • HIMS
  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • FFARS
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki@2016. Haki zote zimehifadhiwa